mavumbamakasha
JF-Expert Member
- Aug 18, 2020
- 228
- 449
Waulizwe psrs wamepataje 91, 93 mimi najua hivyo. Asilimia wanatafutaje?Mkuu hii inaleta odd number kwel
Electrical engineers mpaka msemeee [emoji28][emoji28][emoji28]asali ni asali tu hongera kaka
unaendelea kuwatukana sasaUtumishi please , kama kuna Electrical Engineer aliwatukana kwenye interview basi msameeni , maana mnachofanya ni kukomoa , watu wanafanya interviews ,ninyi Kenge hamtoi Placement ,mwaka huu unaisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fisi maji ninyi
Kwa Nini HKL lakini😂😂😂
Kifupi hizo kada ulizozitaja ni kada pendwa utumishini nyie ma engineers mtaendaje site bila madereva na bila kula kuweni wavumilivuElectrical engineers mpaka msemeee [emoji28][emoji28][emoji28]
Ni mwendo wa madereva ,wapishi ,accountants , record management , wachumi , kilimo ,librarians .
Haya majamaa tuliyatukana kwenye zile interviews au ?
Acha uongo wewe mwana cbg wa mchongo!Itakua wanatafuta asilimia mfano umepata 43 ya 50 watafanya 43/50*100=86 hii ndiyo marks yako.....mwanao asisome hkl!!!!
Yaan moyo unauma kweli asee,kila pdf Holla,Electrical tumeyatimbaaElectrical engineers mpaka msemeee [emoji28][emoji28][emoji28]
Ni mwendo wa madereva ,wapishi ,accountants , record management , wachumi , kilimo ,librarians .
Haya majamaa tuliyatukana kwenye zile interviews au ?
BalaaYaan moyo unauma kweli asee,kila pdf Holla,Electrical tumeyatimbaa
Mkuu ata IT wenzake hajatuonaYaan moyo unauma kweli asee,kila pdf Holla,Electrical tumeyatimbaa
watakuja kujichanganya tu..Yaan moyo unauma kweli asee,kila pdf Holla,Electrical tumeyatimbaa
shiidaaahBalaa