Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Hapana mkuu😂Pinacoladee nimeona ofisa habari kule sio wewe kweli?
tutakomaHapana mkuu😂
hongera. Hapo kwenye status umenigusa. Kumbe bado mzigo upo for oral. Kwakweli kapige kazi Kakiwakilishe chuo chako na Jina la Familia yako vizuri. Ikawe heri.Ni direct mkuu japokua Ni interview yangu ya pili kufika oral, na status mpaka Sasa inasomeka Selected for oral.
Yapo mambo mengi ya kufanya kuliko kuonesha haya. Ni kukosa ustaarabu kuwatukana Utumishi ilihali unataraji wakupe maisha. Au unadhami kuwa na fake ID ndo kigezo.?? Hii binafsi sijaipenda.Utumishi please , kama kuna Electrical Engineer aliwatukana kwenye interview basi msameeni , maana mnachofanya ni kukomoa , watu wanafanya interviews ,ninyi Kenge hamtoi Placement ,mwaka huu unaisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fisi maji ninyi @psrs
Mie mwenyewe nimejiuliza kama wewe nkaona tu ni marks za kubumba izi kwamba kuna kuchagua alipata nusuJamani mie naomba kuuliza kwenye izi online interview. Inakuwaje mtu anapata 59, 45, 47 ilihari maswali yanakuwa 50 maana ake Kila swali Lina marks mbili jumla 100. Maana mtu akipata 59 maana ake alipata 29.5 je Kuna maswali yanakuwa Yana marks 2.5 au?
Maswali yanauzito tofauti..sio written tu ata practical...Mie mwenyewe nimejiuliza kama wewe nkaona tu ni marks za kubumba izi kwamba kuna kuchagua alipata nusu
Adi multiple choiceMaswali yanauzito tofauti..sio written tu ata practical...
Ni wajibu wao kutoa Placement na wala sio hisani , majitu yapo yameajiriwa yanalipwa pesa kunenepeshea matumbo na mashavu halafu delivery na output ni poor .Kaka
hongera. Hapo kwenye status umenigusa. Kumbe bado mzigo upo for oral. Kwakweli kapige kazi Kakiwakilishe chuo chako na Jina la Familia yako vizuri. Ikawe heri.
Yapo mambo mengi ya kufanya kuliko kuonesha haya. Ni kukosa ustaarabu kuwatukana Utumishi ilihali unataraji wakupe maisha. Au unadhami kuwa na fake ID ndo kigezo.?? Hii binafsi sijaipenda.
Sio busara kuwatukana kaka. Sidhani kama n sawaNi wajibu wao kutoa Placement na wala sio hisani , majitu yapo yameajiriwa yanalipwa pesa kunenepeshea matumbo na mashavu halafu delivery na output ni poor .
Hii mentality ya haya mashirika ya uma na taasisi inasikitisha sana .
Mfano ni hawa taasisi ya utumishi ,
Hawa ndio typical example ya mediocrity kwenye taasisi na mashirika ya serikali .
Haya majitu yangekuwa yanafanya kazi , kupewa mikataba na kupimwa kwa " KPI " huu upumbavu ungeisha mara moja na utendaji serikalini ungebadilika kwa kiasi kikubwa sana
Unaitisha interviews halafu huiiti watu kazini , huo kama si ushenzi ni nini ?
Ni nchi gani au shirika gani ambalo linafanyika watu interviews halafu watu mwaka mzima kimya ni response yoyote ya kinachoendelea ?
Au hujui jinsi watu wanavyotumia gharama na muda kufukuzia hizo interviews za utumishi ?
Hujui maisha ya jobless mtaani ?
Au naongea na mboga saba hapa ?
Yes kumbuka kuna maswali huwa na true n false..na mengine huwa basic sanaAdi multiple choice
We jamaa umerudikuna pdf la tatu uko
aluta continuaWe jamaa umerudi
Wametoa adi la4 mkuualuta continua
Naona upo nje kwa dhamana!kuna pdf la tatu uko
Daaahtutakoma
ni kweliKama mshahara wako unaanzia 1m+
Utasubiri Sana. Ila Kama wewe ni PS, DEREVA, RMA, KILIMO Msaidizi, Mhasibu msaidizi. Andaa nauli tu.
Asanteni.
Kwan una shida gan bosskuna pdf la saizi ya kati uko
Kwanini, mbona pdf hizi mbili wapo watu wenye mshahara zaidi ya 1M na wamelamba asali.Kama mshahara wako unaanzia 1m+
Utasubiri Sana. Ila Kama wewe ni PS, DEREVA, RMA, KILIMO Msaidizi, Mhasibu msaidizi. Andaa nauli tu.
Asanteni.
Kwanini, mbona pdf hizi mbili wapo watu wenye mshahara zaidi ya 1M na wamelamba asali.