ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Halmashauri TGS E Engineer karibuni Lga,π₯΄π₯΄ππ
Na hao kutangaza nafasi tena kwa sasa ni Ngumu at least miaka miwili mpaka mitatu ijayo japo hatuwezi jua lolote linaweza kutokea.ππ
Haujafikiwa nduguwapishi hawafi mapema si tumetoka kuwaongelea muda si mrefu
Yaan Bora wawe wnatoa matokeo ya oralMatokeo ya Oral interview ni muhimu Sana
Unakuta nafasi zilikuwa 5
Wameita kazini 3
Mtu upo njiapanda hujui Kama utapata au hupati.
Maana oral hujui Kama ulifikisha 50+ labda ukawekwa kwenye database
unabaki kujipa matumaini tu kumbe ulikula zako 25 kwenye oral.
hata dalili hakuna π€£ π€£Haujafikiwa ndugu
Matokeo ya oral NI pdf mkuu ukionao jina ujue ulifaulu haijalishi ni Freshers au ni databaseYaan Bora wawe wnatoa matokeo ya oral
true..What I have notice from those pdf za utumishi, udsm wanaajili zaidi ya mala 5 Kwa mwaka while taasisi nyingine ata mala 1 ππ. Afu walioko serikalini wanataka watumishi wakuwatumikia mala wapishi, madereva, sekretarieti, madobi, plumver
Unaweza kuona kama udsm wanaajili sana kumbe kuna watu wakishathibitishwa wanapakimbia hivyo wanalazimika kuajili upyaWhat I have notice from those pdf za utumishi, udsm wanaajili zaidi ya mala 5 Kwa mwaka while taasisi nyingine ata mala 1 ππ. Afu walioko serikalini wanataka watumishi wakuwatumikia mala wapishi, madereva, sekretarieti, madobi, plumver
trueUnaweza kuona kama udsm wanaajili sana kumbe kuna watu wakishathibitishwa wanapakimbia hivyo wanalazimika kuajili upya
Hasa hawa Assistant to academicianUnaweza kuona kama udsm wanaajili sana kumbe kuna watu wakishathibitishwa wanapakimbia hivyo wanalazimika kuajili upya
Unaweza kuona kama udsm wanaajili sana kumbe kuna watu wakishathibitishwa wanapakimbia hivyo wanalazimika kuajili upya
siku izi matangazo mengi lazima ukute lecturerKo sehemu zingine watu awakimbii baada ya kuthbitishwa? Almashauri uko huamisho ni chenga balaa. Serikalini inawapa sana vyuo vibali
Asante Promota wa Utumishi.Ndugu zangu niwape mrejesho.... Bila connection wala nini nimefanya oral mbili nikakosa Ya tatu nimo. Chuo nimesoma kwa tab sana na baada ya kumaliza kama miaka 6 natafta kazi sijatoboa.. mwanzo nilihisi Utumishi wana upendeleo maana nilipokosa interview nilihisi labda kuna mambo hawapo fair. ila baada ya jamaa zangu kadhaa kupata kazbnikashwishika kuhudhuria .. niliingia kwenye usaili kinyonge ila Nkamuomba sana Mungu aniangalie..
Hatimaye kaniona. Muhim ukiitwa Interview soma nenda kafanye. Ukikosa Shukuru Mungu. Nawaombea kila mmoja anayetarajia kupata kazi au kuomba kazi Utumishi ni watu fair sana sana.
Mmh, jamaa mbona kama karudi kivingine, zingatia "utumishi wako fair"Asante Promota wa Utumishi.
Nimekuelewa.