Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Matokeo ya Oral interview ni muhimu Sana
Unakuta nafasi zilikuwa 5
Wameita kazini 3
Mtu upo njiapanda hujui Kama utapata au hupati.
Maana oral hujui Kama ulifikisha 50+ labda ukawekwa kwenye database
unabaki kujipa matumaini tu kumbe ulikula zako 25 kwenye oral.
 
Yaan Bora wawe wnatoa matokeo ya oral
 
What I have notice from those pdf za utumishi, udsm wanaajili zaidi ya mala 5 Kwa mwaka while taasisi nyingine ata mala 1 😜😜. Afu walioko serikalini wanataka watumishi wakuwatumikia mala wapishi, madereva, sekretary. madobi, plumber
 
What I have notice from those pdf za utumishi, udsm wanaajili zaidi ya mala 5 Kwa mwaka while taasisi nyingine ata mala 1 😜😜. Afu walioko serikalini wanataka watumishi wakuwatumikia mala wapishi, madereva, sekretarieti, madobi, plumver
true..
 
Unaweza kuona kama udsm wanaajili sana kumbe kuna watu wakishathibitishwa wanapakimbia hivyo wanalazimika kuajili upya
 
Unaweza kuona kama udsm wanaajili sana kumbe kuna watu wakishathibitishwa wanapakimbia hivyo wanalazimika kuajili upya
Hasa hawa Assistant to academician
Wengi wao baada ya miaka 2 tu wanaomba kwenda shule na hapo unakuta ana degree yake GPA 3.8+
Hivyo akirudi tu anaomba kufanyiwa recategorization na kwenda kuwa academician.
Hivyo moya kwa moya anavikwa Assistant Lecturer.
 
Ndugu zangu niwape mrejesho.... Bila connection wala nini nimefanya oral mbili nikakosa Ya tatu nimo. Chuo nimesoma kwa tab sana na baada ya kumaliza kama miaka 6 natafta kazi sijatoboa.. mwanzo nilihisi Utumishi wana upendeleo maana nilipokosa interview nilihisi labda kuna mambo hawapo fair. ila baada ya jamaa zangu kadhaa kupata kazbnikashwishika kuhudhuria .. niliingia kwenye usaili kinyonge ila Nkamuomba sana Mungu aniangalie..
Hatimaye kaniona. Muhim ukiitwa Interview soma nenda kafanye. Ukikosa Shukuru Mungu. Nawaombea kila mmoja anayetarajia kupata kazi au kuomba kazi Utumishi ni watu fair sana sana.
Asante Promota wa Utumishi.
Nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom