Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

hivi pinacoladee unalalaga kweli.pdf walitoa saa 3 just imagin saa tatu tuko active web toka saa 12 asubuhi🤣 🤣
Nilale kwa raha gani ss🤣🤣,jobless tunapumzika tu hatulali...jobless ulale usingizi mnono unautoa wap ss
 
hivi pinacoladee unalalaga kweli.pdf walitoa saa 3 just imagin saa tatu tuko active web toka saa 12 asubuhi🤣 🤣
Basi nlitoka online kdogo tu narud nkasem ebu nikachungilie kdg nakutana na kimweku kipya🤣,nkasema huu sasa utakua mzigo wa kwenda alooooo kuja kudownload nguvu zte ziliisha
 
si ndo nashangaa saa 10 alfajiri upo online nakati jana mara ya mwisho umeappear saa tisa usiku.. 🤣 🤣
Mm napumzik tu,ukiniona spo online ujue bundle limekata tu🤣🤣🤣🤣,vle vibundle vya jero vinakatika chap tu
 
Kaimu katibu mpole sana ikiwezekana apumzike,wamueke wa moto atetee majobless,moja ya interview anasem kiupole uku anatabasam anaulizwa why placement znachelewa anajibu vibali ndo tatizo uku anasmile as if ili sio shida kwake as long as yeye pesa znaingia na maposho ya kufanyisha watu interviews wananufaika tu maana haiwezekan una mamia ya watu data base still mainterviews kibao. Unasema shida ni vibali uku kama katibu usemi utatusaidia kuondoa tatizo au utudanganye basi mtakaa na mamlaka husika kujadili ishu ya vibali kuchelewa au kama taasisi iliyopewa mamlaka na nyinyi toeni order zenu au sheria zenu kwamba tunataka mambo yanyoke ivi kama mtatangaza nafasi za kazi basi vibali viwe tayar vimetoka.
 
Halafu jambo lingine yani psrs hawajiamini kuliko sisi majobless adi nashangaa🤣🤣 wana shida gani,wanaulizwa kwanini matokeo ya oral hayawekwi hadharani yule afisa Tehama anajibu et mkiyajua matokeo yenu au ukijijua upo database hutaenda kufanya interview nyingine,sasa apa shida iko wap waachie matokeo ayo?apa ndipo inaleta kiulizo kuna watu wanapewa nafasi wasizostahili🤣,sasa unajiuliza wana huruma na sisi kiasi gani yani eti nisiende kufanya interview nyingine kisa najijua nipo database au nimepass so nitakaa tu nisubiri placement kwahyo wanatuonea huruma tusipoenda kufanya interview nyingine🤣🤣🤣..nilichek sana kama mazuri hii interview
 
Labda wabadilishe mfumo lakin toka January ni Kila mwez pdf sita (6) tu
Inaonesha ndo walivyojipangia ndani ya mwezi kwnye placement ni pdf 6,ndo wanajilazimisha kuzivunja vunja vpdf wapate vya kuweka tuone wanapiga kazi,maana kama pdf lina majina ya page 2 tu sasa si wangeunganisha tu,maana ukiangalia placement za mwezi huu zingefit tu kwa pdf 2 basiiiiii
 
Inaonesha ndo walivyojipangia ndani ya mwezi kwnye placement ni pdf 6,ndo wanajilazimisha kuzivunja vunja vpdf wapate vya kuweka tuone wanapiga kazi,maana kama pdf lina majina ya page 2 tu sasa si wangeunganisha tu,maana ukiangalia placement za mwezi huu zingefit tu kwa pdf 2 basiiiiii
Kuna mfumo wa kutoa placement...kuna watu wa kusign pia wakuu...
Kila kitu kina utaratibu, tuvumilie tu
 
kumbe leo ni siku ya masecretary maazimisho yanafanyikia mwanza.kina simbachawene na ridhiwani wapo uko sasa naanza kupata picha..
 
Naomna kufahamu mwenye uelewa na hili hivi UTUMISHI hutumia njia gani Kupanga vituo kwa wale wanaobahatika kuingia DATABASE yao.Je hutumia njia ya kumtoa wa kwanza kuwekwa au wanapick randomly au wanawapanga in acsending order wa marks za juu ndo atakaeanza kutoka haijarishi lini amewekwa kwenye DATABASE?!!

Mfano; Candidate wa kwanza kafanya usaili mwezi wa 5 na alipa 80 akafanikiwa kuwekwa kwenye DATABASE na Candidate mwingine kawekwa mwezi wa 7 ila alipata 90 hizi ni saili tofauti mwezi wa 9 ikatokea nafasi yupi ataanza kuwa first consider.
 
Back
Top Bottom