Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Nilale kwa raha gani ss🤣🤣,jobless tunapumzika tu hatulali...jobless ulale usingizi mnono unautoa wap sshivi pinacoladee unalalaga kweli.pdf walitoa saa 3 just imagin saa tatu tuko active web toka saa 12 asubuhi🤣 🤣
watatoa tu sio kwa ukimya ule.pdf walilokua nalo wamelikata vipande kama 20 hivNaaaam ila jobless hawataki kuelewa.
Basi nlitoka online kdogo tu narud nkasem ebu nikachungilie kdg nakutana na kimweku kipya🤣,nkasema huu sasa utakua mzigo wa kwenda alooooo kuja kudownload nguvu zte ziliishahivi pinacoladee unalalaga kweli.pdf walitoa saa 3 just imagin saa tatu tuko active web toka saa 12 asubuhi🤣 🤣
si ndo nashangaa saa 10 alfajiri upo online nakati jana mara ya mwisho umeappear saa tisa usiku.. 🤣 🤣Nilale kwa raha gani ss🤣🤣,jobless tunapumzika tu hatulali...jobless ulale usingizi mnono unautoa wap ss
Kaimu katibu ikimpendeza apumzike kwanza jmn ebu wambadilishe jmn khaaaa,ivi ypo toka enz za Magu?watatoa tu sio kwa ukimya ule.pdf walilokua nalo wamelikata vipande kama 20 hiv
Mm napumzik tu,ukiniona spo online ujue bundle limekata tu🤣🤣🤣🤣,vle vibundle vya jero vinakatika chap tusi ndo nashangaa saa 10 alfajiri upo online nakati jana mara ya mwisho umeappear saa tisa usiku.. 🤣 🤣
web lina mapicha kibao lazima bando likate mapema inabidi uwe na timingMm napumzik tu,ukiniona spo online ujue bundle limekata tu🤣🤣🤣🤣,vle vibundle vya jero vinakatika chap tu
Mkuu sku izi time zao hazielewek ilikua jion kuna sku apa pdf likatoka mchana,jana napo wakatoa usiku🤣web lina mapicha kibao lazima bando likate mapema inabidi uwe na timing
Sawa nasi Acha tuvumilieNikikumbuka wakati nasubili hizi PDF ni kazi ngumu sana ,Kuna wakati Hadi nilikata tamaa kabisa, Ila Namsgukuru MUNGU nilifanikiwa . Uvumilivu unahitajika sana
Inaonesha ndo walivyojipangia ndani ya mwezi kwnye placement ni pdf 6,ndo wanajilazimisha kuzivunja vunja vpdf wapate vya kuweka tuone wanapiga kazi,maana kama pdf lina majina ya page 2 tu sasa si wangeunganisha tu,maana ukiangalia placement za mwezi huu zingefit tu kwa pdf 2 basiiiiiiLabda wabadilishe mfumo lakin toka January ni Kila mwez pdf sita (6) tu
Kuna mfumo wa kutoa placement...kuna watu wa kusign pia wakuu...Inaonesha ndo walivyojipangia ndani ya mwezi kwnye placement ni pdf 6,ndo wanajilazimisha kuzivunja vunja vpdf wapate vya kuweka tuone wanapiga kazi,maana kama pdf lina majina ya page 2 tu sasa si wangeunganisha tu,maana ukiangalia placement za mwezi huu zingefit tu kwa pdf 2 basiiiiii
Ndo kekucha tuingie saiti tukapige zege mkuuyaaani majobless saa 12 mmeshaanza kuingia web hata utumishi bado hawajafufungua ofisi [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Madam kumekuchaSawa nasi Acha tuvumilie
Shida SHAHADA ZA BODABODA[emoji3]kumbe leo ni siku ya masecretary maazimisho yanafanyikia mwanza.kina simbachawene na ridhiwani wapo uko sasa naanza kupata picha..