Native diaspora
JF-Expert Member
- Nov 19, 2020
- 265
- 458
Nakubali mkuuWale mnaobishania status note hiki kitu ukiona baada ya oral kwenye app umeandikiwa not selected for oral interview sio kwamba umefeli mazima hapo inamaanisha wale waliohitajika kwenye nafasi husika wamekamilika kwaiyo hiyo nafasi huwezi kupata PDF la placement likitoka, lakini endelea kufatilia mkeka wa placement lolote linaweza kutokea kupangiwa kupitia database ila hiyo nafasi husika huwezi kupata. Nina shuhuda nyingi tu watu kupangiwa kupitia database wakiwa na not selected for oral kwenye App.
nikajua ni mimi tu sjui jamaa wanatumia formula gani kutukanda 🤣 🤣Daah acha tu mkuu nimewaona mikeka inakuja hola aisee. NIMEAMUA NILE FOREX TU MKUU baada ya kukusanya mtaji wa kuuza miwa
[emoji3][emoji3]nchi ya Ahadi tutafika tumechokanikajua ni mimi tu sjui jamaa wanatumia formula gani kutukanda [emoji1787] [emoji1787]
Lile keka la mwezi wa 6 mwaka jana MDA LGA limejaa madereva [emoji3][emoji3]nikajua ni mimi tu sjui jamaa wanatumia formula gani kutukanda [emoji1787] [emoji1787]
Kitu cha managing director halafu ni re advertised 🤣Wakuu tukaongeze received uko
Daaah 😂😂😂😂😂sio mchezo yaan tunapigika yaan hela za bando nilizojiunga naweza kununua hata ka teza flani hivi
Kuna nafasi za 'tutor' chuo cha utaliiKitu cha managing director halafu ni re advertised 🤣
Nimecheka sana .huu ujobless utatuua kabisa.UTUMISHI WANACHUKUA ZAIDI YA MWAKA KUITA WATU KAZINI, WATAKUJA KUITA KAZINI MAREHEMU
Kwa Nini mkuunimekumbuka kuna kipindi hadi bunge na tpdc walikua wanatangaza ajira utumishi mwili umetetemeka.
sasa hivi hutakuja kuskia taasisi zenye asali nzito kama izo zikitangaza ajira waziwaziKwa Nini mkuu
Dah we acha tu...tumuandikie barua rais nini ili aone jobless tupo serioussasa hivi hutakuja kuskia taasisi zenye asali nzito kama izo zikitangaza ajira waziwazi
yeye mwenyewe anajua ila bas tu ndio kashashauiwa na vigogo wenzieDah we acha tu...tumuandikie barua rais nini ili aone jobless tupo serious
Ewura...latra...tpdc...nemc...pbpa...nina muda mrefu sijaziona ajira portal..yeye mwenyewe anajua ila bas tu ndio kashashauiwa na vigogo wenzie
Ya Mungu mengi🤣🤣🤣kuna pdf lingine mazee nenden mkaangalie ya mungu mengi
Pdf lijalo nasi tutakuwepo kakaTusubir pdf lingine...jamaa anasainisha