Wale mnaobishania status note hiki kitu ukiona baada ya oral kwenye app umeandikiwa not selected for oral interview sio kwamba umefeli mazima hapo inamaanisha wale waliohitajika kwenye nafasi husika wamekamilika kwaiyo hiyo nafasi huwezi kupata PDF la placement likitoka, lakini endelea kufatilia mkeka wa placement lolote linaweza kutokea kupangiwa kupitia database ila hiyo nafasi husika huwezi kupata. Nina shuhuda nyingi tu watu kupangiwa kupitia database wakiwa na not selected for oral kwenye App.