Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

itabidi hii mitandao ya simu iwashukuru utumishi aisee kwakuwatafutia wateja wa bando
 
Wadau niwe mkweli mimi najihisi nina mikosi kwenye suala la ajira(maisha). Oral moja toka 2022 hakuna aliyeitwa kazini mpaka leo, nyingine toka mwaka jana wameita wawili tu. Kabla ya kufika hizi oral watu wa kada yangu walikua wanaitwa sana kazini.
 
Naomba kuuliza, ukifanya oral status huwa inachange au inabaki vile vile "Selected for oral interview"??
 
Wadau niwe mkweli mimi najihisi nina mikosi kwenye suala la ajira(maisha). Oral moja toka 2022 hakuna aliyeitwa kazini mpaka leo, nyingine toka mwaka jana wameita wawili tu. Kabla ya kufika hizi oral watu wa kada yangu walikua wanaitwa sana kazini.
Pole sana mkuu, uskate tamaa mda utafika japo huenda ikawa kwa kuchelewa sana, kuanzia mwaka 2022 ndio mambo haya ya kukawiza sana yameanza lkn miaka ya nyuma ilikua usaili ukipita mda si mrefu wanatoa majina na ilikua kawaida mfano kazi ilihitaji watu 10, wanachukua hata zaidi ya hao 10 kwa kuanzia tu au idadi yao kumi kuanzia mbele huko ndio wataanza kutoa database mmoja mmoja
 
Wadau niwe mkweli mimi najihisi nina mikosi kwenye suala la ajira(maisha). Oral moja toka 2022 hakuna aliyeitwa kazini mpaka leo, nyingine toka mwaka jana wameita wawili tu. Kabla ya kufika hizi oral watu wa kada yangu walikua wanaitwa sana kazini.
Same to me 2022 walioitwa watu wengi kutoka database kwa kada yangu na mimi nakandwa kipindi hicho.

Mwaka jana nikaingia oral nikaona magoli aisee kufika hadi leo wamekomaaa na database ya watu waliofanya interview mwezi wa sita ila sisi wa Mwezi wa nane hawajagusa hata Mmoja database yetu Inaenda mwezi wa 10 now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…