No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
AminaPdf lijalo nasi tutakuwepo kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AminaPdf lijalo nasi tutakuwepo kaka
Kwani haujui kibali cha ajira kimetoka mwezi wa nne speed itapunguaIla huu mwez wamejitahd kutoa pdf japo ni fupi,.
ni pdf moja ilo 🤣 🤣Ila huu mwez wamejitahd kutoa pdf japo ni fupi,.
Hawajui tu🤣ni pdf moja ilo 🤣 🤣
🤣🤣mida yao hii muwe online chochote chaweza kutokea
Tuko live hatuchokii ipo siku mambo yatakuwa mazurimida yao hii muwe online chochote chaweza kutokea
Pole sana mkuu, uskate tamaa mda utafika japo huenda ikawa kwa kuchelewa sana, kuanzia mwaka 2022 ndio mambo haya ya kukawiza sana yameanza lkn miaka ya nyuma ilikua usaili ukipita mda si mrefu wanatoa majina na ilikua kawaida mfano kazi ilihitaji watu 10, wanachukua hata zaidi ya hao 10 kwa kuanzia tu au idadi yao kumi kuanzia mbele huko ndio wataanza kutoa database mmoja mmojaWadau niwe mkweli mimi najihisi nina mikosi kwenye suala la ajira(maisha). Oral moja toka 2022 hakuna aliyeitwa kazini mpaka leo, nyingine toka mwaka jana wameita wawili tu. Kabla ya kufika hizi oral watu wa kada yangu walikua wanaitwa sana kazini.
Nko live mkuu,nmeshapata bundle sasamida yao kama huna bando kopa
Sijui nan aliwaaminishaga watu kuwa tpdc kuna asali nzuri wakati mishahara ya kawaida tunimekumbuka kuna kipindi hadi bunge na tpdc walikua wanatangaza ajira utumishi mwili umetetemeka.
Kweli kama ya halmashauri ya namtumbo tu...Sijui nan aliwaaminishaga watu kuwa tpdc kuna asali nzuri wakati mishahara ya kawaida tu
Same to me 2022 walioitwa watu wengi kutoka database kwa kada yangu na mimi nakandwa kipindi hicho.Wadau niwe mkweli mimi najihisi nina mikosi kwenye suala la ajira(maisha). Oral moja toka 2022 hakuna aliyeitwa kazini mpaka leo, nyingine toka mwaka jana wameita wawili tu. Kabla ya kufika hizi oral watu wa kada yangu walikua wanaitwa sana kazini.
ok kama ushapata bando ingia youtube harmonize kaachia ngomaNko live mkuu,nmeshapata bundle sasa