Watu watakuwa wameshafika dom leo😄sipati picha hilo jam la kesho pale utumishi kwa hizi pdf 2
Mara nyingi kwa kada za sayansi huwa kuna practicalNAmi nimechaguliwa ila sijaelewa mbona mchujo mara 3🤣 written online , practical,na oral
😁😁 mm napaita sivu,nadhani wewe unavoona inafaa😀😀CIVE pamoto sana 🔥...ni panaitwa SAIVU wageni wanaulizia sive😂
siku nyiiiingi watu wanasubiria pakuche tu 🤣 🤣Watu watakuwa wameshafika dom leo😄
Umejuaje mkuu😂😂siku nyiiiingi watu wanasubiria pakuche tu 🤣 🤣
Na kale la View time table kalikuwepo kwako kwenye Status?Asante Mkuu,,,1.Nimepata post direct Mkuu 2.Status kwenye app nilikuaga naangalia kila siku haikuwahii kubadilika Tangia nifanyee oral,ilikuwa tuu SELECTED FOR ORAL INTERVIEW
we pinacoladee kwa hali jinsi ilivyo watu wanahisi utumishi wanaweza kubadili mawazo.kesho tu barua zote zinaisha 🤣 🤣Umejuaje mkuu😂😂
Tupo mkuu,sema mida ya kua live badoJobless amkeni basi tukashinde web, au ndio wote mmeshalamba asali.
Ramli hizo kaka😃Mkiona yale matangazo ya kwenye placement yote yanawaka vimulimuli, hakuna pdf siku hiyo. Ila kama kuna moja halina kimulimuli, pdf uhakika. Leo pdf uhakikaa😀
Bado placement ujapata?Sawa,mtoe wa kuelewek sasa it
Bado mkuuBado placement ujapata?
Utapata .. Omba Mungu na taasisi nyingi kwa sasa zinakomba bajeti mwaka wa bajet unaishaBado mkuu
Mungu atusimamie ikawe heri kwa gov .....watutoe mtaani Mambo hayaendi sawaHii ndio December ya gov...neema itamwagika