Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari wakuu
Vipi maswali yao ya UTUMISHI ya mfumo mpya (online test) huwa wanabase wapi
Maswali ni zile topic za chuo...
Hayana tofauti na ilivyokuwa zaman...kikubwa upitie maswali zaid online na pia soma job description wanataka mtu wa aina gani na usome hapo
 
Shukrani mkuu
Kwaio haina toufati sana na ile written ya kitambo ya kwenda Dodoma ?

Nilikuwa nahisi labda hii aptitude test itakuwa na maswali mchanganyiko (hesabu, ya kijamii, ya darasani na Yale yakuchangamsha akili)
 
Hapana ni yale yale yamehamishiwa kwenye computer...yapo 50 kwa saa moja... multiple choice
 
220912051759Wasailiwa wakiendelea kuingia.jpg
time is over pen dooown.... !!!! 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom