Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Namshukuru Mungu nimetoka kwenye mkeshaa wa maombi asubuhii hii nakutana na jina langu kwenye pdf,nashindwa hata niongee maneno gani ya kumshukuru Mungu,nimefanya interview (4) utumishi sijawahii kubahatika kuingia Oral hata siku moja,ila interview ya mwezi wa Nne niliingia Oral kwa mara ya kwanza na Leo nimeona jina langu
Hongera sana mkuu,kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
ujue kila kitu kinaenda ovyo katika hii nchi ni kwa sababu ya ufinywu wa marifa kwa baadhi ya watumishi wa uma na viongozi kwa ujumla
Ujue kila mtu anahaki ya kuwa na nyadhifa hizo katika hii nchi ila kulingana na uhalisia haiwezekani ni lazima tuwape wachache hizi authorities ila watende haki kwa kila mtu katika nchi yake pendwa sasa wapo watu hawajui jukumu walilo pewa
Mkuu usiseme ukamaliza, kuna majira ya Mungu yakikujiria kila kitu kinanyooka kwenye mstari kama utakavyo.
 
Namshukuru Mungu nimetoka kwenye mkeshaa wa maombi asubuhii hii nakutana na jina langu kwenye pdf,nashindwa hata niongee maneno gani ya kumshukuru Mungu,nimefanya interview (4) utumishi sijawahii kubahatika kuingia Oral hata siku moja,ila interview ya mwezi wa Nne niliingia Oral kwa mara ya kwanza na Leo nimeona jina langu
Hongera sana, ukawe good worker!
 
Kaka kama nilivyokuambia kuna database ya mwezi wa sita utumishi wanakimbizana nayo waimalize.

Mimi nilifanya wa nane.

Kiuhalisia mimi sio jobless ila nilikuwa na imani sana na Psrs.

Ila naona naenda kukata Tamao moyo wangu umekufa ganzi.

Nilipambana sana kuingia oral zaidi ya interview mbili nimefanya.

Marafiki zangu wote wakaajiriwa.

Mimi nimeingia mwaka jana oral tukiwa 150 na database yetu haijawahi kuguswa mwezi wa sita sikuenda baada ya kufeli Mwezi watatu ila ndo hiyo hiyo utumishi wamekomaa nayo.

Yetu ina miezi 10 haijaguswa.

BABA MUNGU AHSANTE KWA YOTE.

niwatakie usiku mwema.

Ila moyo unauma sana sana.
lazim mwaka huu utaitwa tu mna upepo mzuri
 
Namshukuru Mungu nimetoka kwenye mkeshaa wa maombi asubuhii hii nakutana na jina langu kwenye pdf,nashindwa hata niongee maneno gani ya kumshukuru Mungu,nimefanya interview (4) utumishi sijawahii kubahatika kuingia Oral hata siku moja,ila interview ya mwezi wa Nne niliingia Oral kwa mara ya kwanza na Leo nimeona jina langu
hongera sana kaka mungu amejibu maombi yako
 
Namshukuru Mungu nimetoka kwenye mkeshaa wa maombi asubuhii hii nakutana na jina langu kwenye pdf,nashindwa hata niongee maneno gani ya kumshukuru Mungu,nimefanya interview (4) utumishi sijawahii kubahatika kuingia Oral hata siku moja,ila interview ya mwezi wa Nne niliingia Oral kwa mara ya kwanza na Leo nimeona jina langu
Hongera sana mkuu....Ukawe mtumishi mwema
 
Namshukuru Mungu nimetoka kwenye mkeshaa wa maombi asubuhii hii nakutana na jina langu kwenye pdf,nashindwa hata niongee maneno gani ya kumshukuru Mungu,nimefanya interview (4) utumishi sijawahii kubahatika kuingia Oral hata siku moja,ila interview ya mwezi wa Nne niliingia Oral kwa mara ya kwanza na Leo nimeona jina langu
Hongera karib katika Utumishi.
 
Back
Top Bottom