Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Hongera sana mkuu,kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNamshukuru Mungu nimetoka kwenye mkeshaa wa maombi asubuhii hii nakutana na jina langu kwenye pdf,nashindwa hata niongee maneno gani ya kumshukuru Mungu,nimefanya interview (4) utumishi sijawahii kubahatika kuingia Oral hata siku moja,ila interview ya mwezi wa Nne niliingia Oral kwa mara ya kwanza na Leo nimeona jina langu