Na huku huwa kuna mtu kutoka taasis husika...akichagua wake, wengine tunaingia db sijui kuhusu mda n lgaKwa non gov inawezekana. Sahili zinakua flexible, zinapima hasa kile unajua kuhusu kazi, hizi huku za kupambania huko "Migiro" za mention 5 points,... zimekosa flexibility hiyo.
Ni kweli kabisa. Written interview kinaangaliwa kile ulichojibu tu ila oral interview yale majibu ni sehem ndogo ya ufaulu. Hata reaction yako pale unapoulizwa swali ambalo hulijui pia inaweza kukupa marks au kukupunguzia.
Sawa sasa ngoja tupumzishe mafuvu,tusubiri keshoTusubir pdf wakuu...tusijistress, kuna excel moja niliiona sehem..
Oral assessment, kuna mwenye 75,78,65...
Comment: kachukuliwa wa 75 kwa sababu anaufaham mzuri na kazi..
Hii ni comment ya engineer wa taasis hiyo...
Sasa naona hiyo ndio sababu hawaweki matokeo...
Hii haikuwa gov
Urasimu tu, siyo kwenye ajira tu, hata uhamisho na kupanda vyeo ni hivyo hivyo.Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Hata siwezi kusema😂😂Mmmh kwahyo unahis umepata ngap ss?
Sawa,kumekuchaaHata siwezi kusema😂😂
Hii ni idara ina watu wengi na sio mmoja mkuu, hivyo ondoa shaka kazi itaendeleaIT yupo au kaenda korea?..
Daaah,this life is not fair at all wengine apa tunataman tuone majina yetu ata halmashauri za ndani ndani uko as long check no tumepata,salary inaingia😂😂,but I feel you maana ukishapata ss uko halmashauri mtu lazma utaman kupata transfer kutokana na mazingira ya kazi yalivyo,anyway I wish you the best endelea kuulizia ulizia utapata tu connection.Jamani nataka kuhamia wizarani sina connection🥲🥲nmechoka halmashauri
kasheshe!Jamani nataka kuhamia wizarani sina connection🥲🥲nmechoka halmashauri
Ushapata barua ya uthibitisho kazini?Jamani nataka kuhamia wizarani sina connection🥲🥲nmechoka halmashauri
AmenLeo kuna watu lazima warambe ASALI humu
PakavuLeo kuna watu lazima warambe ASALI humu
Ngoja tusogee na vifurushi vyetu vya mkopoMida yao, tusogee web taratiiibuuuu...
AmeenLeo kuna watu lazima warambe ASALI humu
Wacha niendelee kupambana,sio poa🥲Daaah,this life is not fair at all wengine apa tunataman tuone majina yetu ata halmashauri za ndani ndani uko as long check no tumepata,salary inaingia😂😂,but I feel you maana ukishapata ss uko halmashauri mtu lazma utaman kupata transfer kutokana na mazingira ya kazi yalivyo,anyway I wish you the best endelea kuulizia ulizia utapata tu connection.