Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sure yaan confidence yako ipoje...
Ni kweli kabisa. Written interview kinaangaliwa kile ulichojibu tu ila oral interview yale majibu ni sehem ndogo ya ufaulu. Hata reaction yako pale unapoulizwa swali ambalo hulijui pia inaweza kukupa marks au kukupunguzia.
 
Tusubir pdf wakuu...tusijistress, kuna excel moja niliiona sehem..
Oral assessment, kuna mwenye 75,78,65...
Comment: kachukuliwa wa 75 kwa sababu anaufaham mzuri na kazi..
Hii ni comment ya engineer wa taasis hiyo...
Sasa naona hiyo ndio sababu hawaweki matokeo...
Hii haikuwa gov
Sawa sasa ngoja tupumzishe mafuvu,tusubiri kesho
 
Jamani nataka kuhamia wizarani sina connection🥲🥲nmechoka halmashauri
Daaah,this life is not fair at all wengine apa tunataman tuone majina yetu ata halmashauri za ndani ndani uko as long check no tumepata,salary inaingia😂😂,but I feel you maana ukishapata ss uko halmashauri mtu lazma utaman kupata transfer kutokana na mazingira ya kazi yalivyo,anyway I wish you the best endelea kuulizia ulizia utapata tu connection.
 
Wacha niendelee kupambana,sio poa🥲
 
Back
Top Bottom