π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£toka nizaliwe sikuwahi kufikiria kua ipo siku mimi nitakuja kufurahia vimulimuli kuzima.kweli kua uyaone π€£ π€£
Mbwembwe nyingii, nafasi ni moja moja aiseeπ watendaje wa vijiji wapo kama milioni hivi kitaaHalmashauri zimechachamaa
Mkuu ipi hiyo...misitu na nyuki auHv wenzangu na mimi tuliosoma course ambayo utaajiriwa Kwenye shirika moja tuu Tanzania nzima tuna hali gani yani kila muda kusubiri ajira kutoka shirika moja tuu na lenyewe kutoa nafasi ni baada ya miaka mitano kama uchaguzi vile.?
Yoyote ileMkuu ipi hiyo...misitu na nyuki au
ππππ....hali tete inabidi utabasamutoka nizaliwe sikuwahi kufikiria kua ipo siku mimi nitakuja kufurahia vimulimuli kuzima.kweli kua uyaone
Mataifa yapo mengi tu ambayo ajira ni nyingi hadi wanatumia madalali yani kampuni zina ma HR wengi sana kwajiri ya kusaka watu, na watu wanaitwa hadi wanakataa wenyewe, nchi inapaswa kutengeneza mfumo iliyo bora kuanzia chini na sio kuangalia juu tu wapo wengi huku chini wanao kwamisha malengo ya uongozi wa juu kwajili ya tamaa na ufinyu wa viongozi, pia inapaswa kuweka ushirikiano na mashirika binafsi ili soko la ajira litanuke ndo ilivyo katika nchi zilizo endelea, ivi unajua kila mtumishi wa uma ni kiongozi?, sasa nambie sifa ya kiongozi ni ipi, pili nambie tofauti ya kiongozi na mtawala?Kwani hizo nchi ulizotaja hapo hazina changamoto ya ajira? Pia nimesema population na uchumi
Vimulimuli vimezima tuendelee kutia ubaniMm nawazooom tu ndugu zangu na sijui niende upande upi maana naona kila mtu kwa nafasi yake anamwaga point za maana@Buti la Mzungu haki-tz
Program gani hiyoHv wenzangu na mimi tuliosoma course ambayo utaajiriwa Kwenye shirika moja tuu Tanzania nzima tuna hali gani yani kila muda kusubiri ajira kutoka shirika moja tuu na lenyewe kutoa nafasi ni baada ya miaka mitano kama uchaguzi vile.?
Program gani hiyo
Inayohitajika kwenye shirika moja tu.
Mkuu ipi hiyo...misitu na nyuki au
Hakuna taifa lolote nje ya Africa linalotafuta waajiriwa (professional) kutoka africa. Hizo kaz unazosema wewe nying sio kazi za taaluma ni vibarua na kazi za usaidizi. Jambo ambalo hata hapa ndani ya nchi yetu linafanyika sana. Kuna kund kubwa la vijana wanatoka mikoani kuja Dar kutafuta maisha na wakifika wanafanya vibarua na kazi za usaidizi na wanaendesha maisha kwa level yao, hapo utasema Dar hakuna changamoto ya ajira???Hivyo ndivyo ilivyo hata kwa hao unaosema wanaenda nchi za watu kufanya kazi haimaanishi hizo nchi hazina tatazo la ajira.Mataifa yapo mengi tu ambayo ajira ni nyingi hadi wanatumia madalali yani kampuni zina ma HR wengi sana kwajiri ya kusaka watu, na watu wanaitwa hadi wanakataa wenyewe, nchi inapaswa kutengeneza mfumo iliyo bora kuanzia chini na sio kuangalia juu tu wapo wengi huku chini wanao kwamisha malengo ya uongozi wa juu kwajili ya tamaa na ufinyu wa viongozi, pia inapaswa kuweka ushirikiano na mashirika binafsi ili soko la ajira litanuke ndo ilivyo katika nchi zilizo endelea, ivi unajua kila mtumishi wa uma ni kiongozi?, sasa nambie sifa ya kiongozi ni ipi, pili nambie tofauti ya kiongozi na mtawala?
Je kwa upande wako unaisemaje serikali, jukumu la kiongozi ni nini au ni yapi katika taifa la wanch viumbe wa Mungu, ukisema suala la ajira liko mikononi mwa mtu sawa ila vipi kuhusu mungawanyo wa ajira katika taifa uko mikononi wako au mwa mtu, ukisema hivyo ni sawa useme kila mwenye nguvu atumie resource za nchi bila utaratibu,Hakuna taifa lolote nje ya Africa linalotafuta waajiriwa (professional) kutoka africa. Hizo kaz unazosema wewe nying sio kazi za taaluma ni vibarua na kazi za usaidizi. Jambo ambalo hata hapa ndani ya nchi yetu linafanyika sana. Kuna kund kubwa la vijana wanatoka mikoani kuja Dar kutafuta maisha na wakifika wanafanya vibarua na kazi za usaidizi na wanaendesha maisha kwa level yao, hapo utasema Dar hakuna changamoto ya ajira???Hivyo ndivyo ilivyo hata kwa hao unaosema wanaenda nchi za watu kufanya kazi haimaanishi hizo nchi hazina tatazo la ajira.
Kila course una uwezo wa kujiajiri ukiamua shida au changamoto ni kick start(starting capital before implementation) na taifa limejaa watoto wa wakalala hoi je unafikili afanyaje sasa mwisho wa siku anaishia katika vibarua , kwa kusema nasikilizia mchongo wa ajira au anasema natafuta capital nifanye mishe zangu ama biashara ila siku zinaenda na anao ananza familia akisha fikisha watoto wawili ndo anaona kipato hakitoshi majukumu yamekuwa anaishia kundunduliza mwisho wa siku anakufa mapemaTuwashauri watoto na wadogo zetu kabla hawajachagua course ya kusoma chuo wajiulize maswali haya
1. Kwake probability ya kupata ajira na kukosa ipi kubwa baada ya kumaliza (kuna wale baba kanituma na wale wenye kampuni zao) Kama probability ya kukosa ni kubwa zaidi (Yaani hana mizizi na connection)
2. Ajiulize nikimaliza na nikikosa ajira hii course itanisaidia vipi katika shughuri zangu za kila siku ili kuniingizia kipato. Akifanya maamuzi sahihi ataepukana na hayo tunayopitia sisi wazee wake.
madevu yote haya eti nafurahia vimulimuli kuzima daaahh mungu niokoe π€£ π€£ππππ....hali tete inabidi utabasamu
Una uhakika au unaongea kwa hisia tu.Mnasubiri ajira (placement) huku utumishi na mmechoma nauli zenu na usumbufu mwingi, huku upande wa pili watu wanaajiriwa ukiuliza wanasema walikiwa vijana wanajitolea katika tasisi yetu tumeamua kuwaajiri [emoji23], sasa hao intern wamepelekwa na TaESA na wengine wameenda mwenyewe tunawaita independent volunteers Sasa swali chombo pekee cha kusimamia mchakato wa ajira tena zile za kudumu ni kipi kama sio psrs, Hii ndo Tz yetu
Kaka injinia Watakukumbuka psrs usjali.madevu yote haya eti nafurahia vimulimuli kuzima daaahh mungu niokoe [emoji1787] [emoji1787]