Buti la Mzungu
Member
- Jun 1, 2024
- 51
- 111
Dah!! kwa uwezo wa Allah next pdf jina lako utalionaKama mtu hukaa database mwaka mmoja baada ya kufanya oral, basi nina siku saba tu za kumuomba Mungu.
Oral nilifanya mwaka Jana mwezi wa sita 2023.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!! kwa uwezo wa Allah next pdf jina lako utalionaKama mtu hukaa database mwaka mmoja baada ya kufanya oral, basi nina siku saba tu za kumuomba Mungu.
Oral nilifanya mwaka Jana mwezi wa sita 2023.
Kuna watu wa 2022 wamelamba asali mwaka huuKama mtu hukaa database mwaka mmoja baada ya kufanya oral, basi nina siku saba tu za kumuomba Mungu.
Oral nilifanya mwaka Jana mwezi wa sita 2023.
Hakika na ikawe hivoDah!! kwa uwezo wa Allah next pdf jina lako utaliona
Oyaa mkuu sio poa aisee.. [emoji23][emoji23]SUASO[emoji23]
Ni hatariOyaa mkuu sio poa aisee.. [emoji23][emoji23]
Tuzidishe dua mkuu, one day yesNi hatari
Sijakuambia TaESA ina ajiri watu ila nimemanisha tasisi zinajichukulia maamzu ya kuajiri watu, elewa sasa ww kibaraka wa …. iko hivi tasisi zisha wahi kusema vijana wanao jitolea na wale wa intern wanauziefu wa kazi kuliingana na walivyo fanya nao kazi hivi bora wasiwaache wakaenda bila kuajiriwa na pili tasisi zinapo ajiri zenywe zinafanya zitakavyo tofauti na PSRS, sasa ww unakurupuka kujibu msg bila kuelewa maana ya msg unayo ijibia! Ndo maana nikasema ukiukiza why mnnafanya mambo mtakavyo ya ajira wanadai vijana wanao jitolea wana uelewa na kazi hiyo na sasa katika tasisi za serikali intern nyingi zinatolewa na TaESA, elewa usikurupuke kujibu bila kuwa na marifa mapana,(kila saa nazungumzia ufinyu wa marifa sasa na ww ndo uko hivyo!)Nimekuelewa nimeona muongo tu
Wewe jamaa ni mjuaji sana.Sijakuambia TaESA ina ajiri watu ila nimemanisha tasisi zinajichukulia maamzu ya kuajiri watu, elewa sasa ww kibaraka wa …. iko hivi tasisi zisha wahi kusema vijana wanao jitolea na wale wa intern wanauziefu wa kazi kuliingana na walivyo fanya nao kazi hivi bora wasiwaache wakaenda bila kuajiriwa na pili tasisi zinapo ajiri zenywe zinafanya zitakavyo tofauti na PSRS, sasa ww unakurupuka kujibu msg bila kuelewa maana ya msg unayo ijibia! Ndo maana nikasema ukiukiza why mnnafanya mambo mtakavyo ya ajira wanadai vijana wanao jitolea wana uelewa na kazi hiyo na sasa katika tasisi za serikali intern nyingi zinatolewa na TaESA, elewa usikurupuke kujibu bila kuwa na marifa mapana,(kila saa nazungumzia ufinyu wa marifa sasa na ww ndo uko hivyo!)
Natamani na mimi nilione jina LanguDah!! kwa uwezo wa Allah next pdf jina lako utaliona
Linakuhusu kama bado unataka kufanya usaili psrsHivi ambao tuna check number hili tangazo la kuupdate personal ifo pale ajira portal linatuhusu?
Ooh asante, wacha nikaupdateLinakuhusu kama bado unataka kufanya usaili psrs
Sasa mm nimesamaje hebu pitia msg yangu ya mwanzo ndo maana nasema unakurupuka huelewi content Ya msg yangu, hata sielewi unabisha nn, yani mm nilisema pia mqenye mamulaka ni psrs unabisha afu unaunga mkono bila kujijua looh!Wewe jamaa ni mjuaji sana.
Taasisi kuajiri zenyewe ili suala liko pande mbili ya kwanza UTUMISHI wanasema taasisi zinachelewesha kutoa go ahead ya kuita watu kazini na inawaletea watu wasio na ubora na ufanisi.
Hizi sababu ukiaziangalia zimekaa kiukiritimba na ndio maana TRA,EWURA,BOT wameanza kuajiri wenyewe volunteer wa Taesa.
Lakini swali langu kwa wewe unajiita Mwenye uelewa.
Unadhani TRA wamejiamulia wenyewe kuajiriwa bila kupewa mamlaka na serikali ?
Ukishajua kuwa wamepewa mamlaka na serikali basi itabidi ujue kuna vitu vingi nyuma ya pazia haujui.
Usiishie kulalamika sijui vijana wa TAEsa au volunteer wameajiriwa jiulize anaeajiri mamlaka kapata wapi?
Wakati Mwenye mamlaka ya kuajiri ni PSRS
Kwa uelewa wako huo utachelewa kupata kazi sana, unaweza ona ulifanya vizuri kwa interview kumbe unategemea sehemu ambako hamna unacho suburi, bora uwe mstali wa mbele kutete wenzako hata kama sio jobles kama mm kuliko kuwakandiaWewe jamaa ni mjuaji sana.
Taasisi kuajiri zenyewe ili suala liko pande mbili ya kwanza UTUMISHI wanasema taasisi zinachelewesha kutoa go ahead ya kuita watu kazini na inawaletea watu wasio na ubora na ufanisi.
Hizi sababu ukiaziangalia zimekaa kiukiritimba na ndio maana TRA,EWURA,BOT wameanza kuajiri wenyewe volunteer wa Taesa.
Lakini swali langu kwa wewe unajiita Mwenye uelewa.
Unadhani TRA wamejiamulia wenyewe kuajiriwa bila kupewa mamlaka na serikali ?
Ukishajua kuwa wamepewa mamlaka na serikali basi itabidi ujue kuna vitu vingi nyuma ya pazia haujui.
Usiishie kulalamika sijui vijana wa TAEsa au volunteer wameajiriwa jiulize anaeajiri mamlaka kapata wapi?
Wakati Mwenye mamlaka ya kuajiri ni PSRS
Wewe umepata kazi.Kwa uelewa wako huo utachelewa kupata kazi sana, unaweza ona ulifanya vizuri kwa interview kumbe unategemea sehemu ambako hamna unacho suburi, bora uwe mstali wa mbele kutete wenzako hata kama sio jobles kama mm kuliko kuwakandia
Sio kila course lazima ujiajiri.
Hr.
Procurement and supply.
Hongera kwa kuongea point kuliko huyo jamaa anajiita HAKI Tz kazi kulalamika lamika tu.Tusubiri pdf uko wakuu....tuache kuandika hisia
Hakikisha unafika oral alafu subiri pdf