Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Mzee utumishi hawajakuita kama mimi.Mathematics inasaidia katika maiaha sio sili [emoji16][emoji16][emoji16], wapo watu hata kama mnabishana au mnaelimisha kwa hoja ila unaona ueleewa wake mzuri na point nzuri wakati mwingine, mfano buti la mzungu jana tuielekezan kwa malumbano ya hoja ili wote tuelimishane, ila wewe sijui utawala 2025 hakuna kitu!
Unajiona mjanja kupangilia Hoja .
Wakati Pdf ikitoka tunachungulia wote tulia wewe.