Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
🤣🤣aya endelea BabaMimi si nilisema tar 15
Basi watoe December kbsaNyie mbona hamna uvumilivu, utumishi wa umma mtauweza kweli? Hehee pdf ni mpk August
Sisi wenyewe hatuwahitaji.... Ni vile tu wanatuita so tunaitikaNDIYO MJUE HAMUITAJIKI HUKO MAOFISINI!
Au wasitoe kabisa, alaa!Basi watoe December kbsa
Uko na ujinga🤣🤣🤣🤣,mm jaman akili imechoka nataman niend dom kuchukua barua na si interview 😵Walete received nimepamiss Dodoma kuna demu wangu kule CIVE
Sasa si hawataki kutoa pdf umefanya interview ngapiUko na ujinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],mm jaman akili imechoka nataman niend dom kuchukua barua na si interview [emoji43]
IT kaanza kuwasha 'call for interview ' akitoka hapo ataingia ' placement'
Sidhani, wanakuaga na kibuli hao utadhani wao ndio mabossUnaweza kuta anayepandisha pdf ni ''office management secretary''
Hata lile la watendaji/madereva🤣🤣🤣Sku 12 bila pdf🧐
usifike "denial point" hiliHakuna kitu kama hiko.