No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Sure mwanangu, sio kama halmashauri ya Itilima ukoKuna impact mzee hizo taasisi zote zilizoongoza kwa gawio ndo Kuna asali balaaa maana zinatengeneza faida kwaiyo maslahi ya mfanyakazi lazima yawe mazuri.