El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
mhh sizani mpaka sasa hivi naona ofisi itakua tupu yote yatakua njiani kuelekea mikoani..Pengine unaweza kutokea muujiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mhh sizani mpaka sasa hivi naona ofisi itakua tupu yote yatakua njiani kuelekea mikoani..Pengine unaweza kutokea muujiza
Wazoefu wa kufuatilia pdf hapa ni Jumanne weekend hawajatoa muda mrefu sasamhh sizani mpaka sasa hivi naona ofisi itakua tupu yote yatakua njiani kuelekea mikoani..
hivi leo si kutakua na interview zinaendeleaWazoefu wa kufuatilia pdf hapa ni Jumanne weekend hawajatoa muda mrefu sasa
Ebu ngoja tuone miezi minne toka watangaze wapo kimya awa tanapa.Jamani TANAPA wanaita lini written interview?
Hv tanapa sio kwamba wameshaita na watu kaziniEbu ngoja tuone miezi minne toka watangaze wapo kimya awa tanapa.
Bado wale ni diploma kwa degree badoHv tanapa sio kwamba wameshaita na watu kazini
OkBado wale ni diploma kwa degree bado
Basi iyo j4 mtoe pdf la kushibaaahivi si ndo mpaka j4 au
hivi si kuna iddi piliBasi iyo j4 mtoe pdf la kushibaaa
Dadek TANAPA wanazingua kinoma ani nimeshaanza na kula nauli yani😡Jamani TANAPA wanaita lini written interview?
Daaah bado mambo ni magumu,ila wapo waliolamba asali wakiongozwa na waenda kuweka mafuta. Wengine tupo aluta continua😤💪PINACODE NA ELMARABIOSH WAKATI SIPO WANANGU NINI NI MUPYA
hakuna jipya mwanangu giza tupu.jana waliachia cha kuzugia 🤣 🤣PINACODE NA ELMARABIOSH WAKATI SIPO WANANGU NINI NI MUPYA
wazee wa sheli wanatuharibia future🤣🤣Daaah bado mambo ni magumu,ila wapo waliolamba asali wakiongozwa na waenda kuweka mafuta. Wengine tupo aluta continua😤💪
Ninacheti cha driving ngoja nibadilishie Gia hewani.
Wanaeachukua wengi wanaenda kuwalipa laki 3 tena taasisi ya maana.wazee wa sheli wanatuharibia future[emoji1787][emoji1787]