Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera saana mkuu,ukawe mtumishi mwema,tulifanya wote hiyo Oral ya carpentry ndiyo nilibahatika Mimi kupata,vpy utakuwa umetoka kwenye database ya carpentry au MDA and LGA
Yaani hata sielewi kabisa, itakuwa labda database ya MDA na LGA
 
Mbonaa nafasi zipo mkuu Wala hawajaziondoa,
 
Kuna mda network inazingua kupitia mtandao unaotumia....kwa Upande wa Website yao ipo Vinzuri.....
 
Hapo Sasa sijuii Mkuu,but kitu alichomwambia HR ni kwamba hii nafasii ilishagapata mtu Rudi PSRS wakupangie sehemu nyingnee yule dada akarudii ndio nimeona jana amepangiwa PSRS zaidii ya hapo sielewii chchte
Hakuna cha aliyepatikana hapo kwa sababu sasa hivi ajira zote zinatoka SERIKALI KUU lazima Taarifa wangekuwa nazo kama kunamabadiliko PSRS wasingemsumbua dada wa Watu kwenda pale!!!....Hr wanaingiza watoto wao kwa njia ya mkataba.....Mara nyingi report ya CAG zinawaumbua sanaa
Utaona mwakani wanaitangaza tena...
 
Muda umeisha, ulikuwa unazima moto...ungeleta shida yako mapema tungekusaidia
 
Muda umeisha, ulikuwa unazima moto...ungeleta shida yako mapema tungekusaidia
Kwanini uishe kabla ya tarehe 20 mkuu na tangazo halisemi hivyo ? kwanini tuweke masharti ambayo hata sisi enyewe hatuwez kuyafuata ?. Yes the the earlier the better, but i wasn't late either, so this is just a lame excuse, i am not going to buy it. Come with something constructive, not this one.
 
Ukifikab oral TRC lakini wakekuita Kazini
Anyway hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwema
 
Mkuu psrs wakikuandika deadline tarehe 5, ufanye mpk tarehe 4 ikifika 5 ..wanaandika closed.
BTW, ukiona taasisi imeweka tangazo la kazi, jitahidi u apply mapema sana...pole sana mkuu
 
Chief hizo post bado zipo na deadline haijafungwa
Check tena labda kuna shida kwenye browser yako
 
Mkuu psrs wakikuandika deadline tarehe 5, ufanye mpk tarehe 4 ikifika 5 ..wanaandika closed.
BTW, ukiona taasisi imeweka tangazo la kazi, jitahidi u apply mapema sana...pole sana mkuu
mkuu hiyo ni kweli, yan bora hata ningeona closed hizo kazi wameziondoa kabisa link zake hazipo so kama hukuapply hata kuona huzioni, anyways ngoja niachane nao ila wana u-fwala fulan ivi. Thanks
 
hongera.ila sjaelewa vizuri yaan uliishia practical bila oral na umepata placement au interview ya kwanza ndo imekupa asali
 
mkuu hiyo ni kweli, yan bora hata ningeona closed hizo kazi wameziondoa kabisa link zake hazipo so kama hukuapply hata kuona huzioni, anyways ngoja niachane nao ila wana u-fwala fulan ivi. Thanks
Sawa mkuu jipange, weka barua tayar na address ya psrs uiandike fresh
 
ukienda sehem ya engineering and construction naona post ya tcra bado ipo na inawezekana kuapply.labda system cheki baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…