toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
ukienda sehem ya engineering and construction naona post ya tcra bado ipo na inawezekana kuapply.labda system cheki baadae
Mkuu wewe ni iT lakini unakutoa jasho huo mfumo?yeah hiyo nimeiona ila zile za it and telecom hazipo
Sikufika oral asee, nimeishia practical tuUkifikab oral TRC lakini wakekuita Kazini
Anyway hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwema
Itakuwa mkuu hata mimi nashangaahongera.ila sjaelewa vizuri yaan uliishia practical bila oral na umepata placement au interview ya kwanza ndo imekupa asali
KAMANDA WEWE NI MASTA, NIMEZIONA KUPITIA SEARCH INDEX YA PALE KWENYE VACANCIES, UBARIKIWE SANAMkuu wewe ni iT lakini unakutoa jasho huo mfumo?
Usiishie kuangalia hapo kwenye IT and Telecom,
Log in then fungua vacancies utaziona zimejipqnga kwenye orodha post zote za TCRA bado zipo
Tena unazidi kupoteza muda
Ni hatariHapana mkuu yaanii iko Hivi baada ya kuwa psrs wamechelewa kuwapelekea mtu ile nafasi ilichukuliwa na mtu ambaye alibadilishiwa majukumu akaziba hiyo nafasii so kwamba aliajiriwa mtu mpya!!
Inawexekana tunaomba post moja😀😀 nimeomba cyber uanze kunipa madini sasa iki tufike oralKAMANDA WEWE NI MASTA, NIMEZIONA KUPITIA SEARCH INDEX YA PALE KWENYE VACANCIES, UBARIKIWE SANA
itakua walicheki aliyefanya vizuri practical wakakuchukua hongeraItakuwa mkuu hata mimi nashangaa
Unachanganya mafaili na ww si umesema mwaka jana ulifika oral hii ya juzi si uliishia practical wao wamekuita database ya mwaka jana. Bila oral hamna kaziSikufika oral asee, nimeishia practical tu
Jamaa kule juu kasema ana oral MDALGA na veta sasa anashangaa nini?itakua walicheki aliyefanya vizuri practical wakakuchukua hongera
itakua wamemchukua database 🤣 🤣Jamaa kule juu kasema ana oral MDALGA na veta sasa anashangaa nini?
Mwezi wa pili mwaka huu nimeafanya MDA,LGA nimefika oralUnachanganya mafaili na ww si umesema mwaka jana ulifika oral hii ya juzi si uliishia practical wao wamekuita database ya mwaka jana. Bila oral hamna kazi
Nakubaliana na wew mkuuMkuu psrs wakikuandika deadline tarehe 5, ufanye mpk tarehe 4 ikifika 5 ..wanaandika closed.
BTW, ukiona taasisi imeweka tangazo la kazi, jitahidi u apply mapema sana...pole sana mkuu
database iyoMwezi wa pili mwaka huu nimeafanya MDA,LGA nimefika oral
Mwezi wa nne mwaka huu nimefanya veta nimefika oral
Mwezi wa tano mwaka huu nimefanya TRC written nimefaulu, practical nikakandwa sikufika oral
Placement nimepata TRC, nazani ni database ya MDA,LGA
Huko kote umefwnyia position moja ya carpentry?Mwezi wa pili mwaka huu nimeafanya MDA,LGA nimefika oral
Mwezi wa nne mwaka huu nimefanya veta nimefika oral
Mwezi wa tano mwaka huu nimefanya TRC written nimefaulu, practical nikakandwa sikufika oral
Placement nimepata TRC, nazani ni database ya MDA,LGA
Hizo za mwezi wa tano za TRC bado placement zake, kuna za Nyuma ambazo tangazo Lao lilikuwa mwenzi wa kumi mwaka Jana, ndo naona wametoa watu na wengine wengi ni databaseMwezi wa pili mwaka huu nimeafanya MDA,LGA nimefika oral
Mwezi wa nne mwaka huu nimefanya veta nimefika oral
Mwezi wa tano mwaka huu nimefanya TRC written nimefaulu, practical nikakandwa sikufika oral
Placement nimepata TRC, nazani ni database ya MDA,LGA
Hongera saaHatimaye nimepata placement TRC
Mwaka huu nilikuwa na oral mbili MDA na LGA, VETA carperntry( majina tarehe 31/05/2024 yalitoka sijapata) , TRC za juzi nimefanya written nilifaulu kwa alama 75, practical alama 64, sikufanikiwa kuingia oral ,ila majina jana yametoka nimepata placement, hakika mungu yupo.
Kati ya saili niliyojiandaa kwa muda mrefu ni TRC, lakini ndio sikufika oral.
Mimi nimefanya juzi tu, sikufika oral nimeishia practical tu, japo na oral mbili, oral moja MDA na LGA na oral ya mwisho ya veta carpentry japo nayo nimeachwa juzi wametoa majina.
Najianda kufanya tena vocational teacher plumbing.
Nakumbuka kuna siku ili-reply hii kitu kwa msg zangu na nikakutia moyoMimi nimefanya juzi tu, sikufika oral nimeishia practical tu, japo na oral mbili, oral moja MDA na LGA na oral ya mwisho ya veta carpentry japo nayo nimeachwa juzi wametoa majina.
Najianda kufanya tena vocational teacher plumbing.