Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Inawexekana tunaomba post moja😀😀 nimeomba cyber uanze kunipa madini sasa iki tufike oral
na mimi hyo hyo, haha aloo ningewashambulia mpaka wajute, nimejifua linux na viunga vyake leo itokee kazi yake eti nishindwe kuapply aisee, i was very disappointed ....ila fresh ntakutafutia madesa, ila maswali kasome ya sanfoundry.com
 
Hongera Sanaa D,kila la kheri🤗
 
na mimi hyo hyo, haha aloo ningewashambulia mpaka wajute, nimejifua linux na viunga vyake leo itokee kazi yake eti nishindwe kuapply aisee, i was very disappointed ....ila fresh ntakutafutia madesa, ila maswali kasome ya sanfoundry.com
😂😂 tukutane mjengoni pale mkuu
Nimewahi ingia pale ndani basi napatamani sana
Asante kwa hiyo source ya maswali
 
Hello majobless wenzangu,
Hivi ikitokea umepewa address uandike barua ya kuomba nafasi ya kazi na ukaambiwa uielekeze kwa manager unaadikakaje? Mfano: umepewa anwani hii

JOBLESS ENTERPRISES (T) LTD,
P.O.BOX 20,
MWANZA
TANZANIA

Halafu wakakwambia barua uielekeze kwa manager je hapo utaiandikaje? Msaada wenu please
 
Kama zile za psrs huwa tunazielekeza kwa katibu( secretary),
Apo juu anza na
MANAGER,
XX ENTERPRISES LTD
 
Sasa jobless format unayotumia utumishi ndio hiyo hiyo tu popote unapoomba kinachobadilika ni anuani na unayemuomba
Hapo anuani umepewa na umeelekezwa wa kumuomba hiyo nafasi,tumia format ileile unayotumaga utumishi maana ndo barua za kiofisi/kuomba kazi zilivyo
 
Ok Asante sana jobless mwenzangu, na ni lazima kuambatanisha Nakala ya vyeti vyako kwenye barua pamoja na CV au unapeleka barua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…