Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Leo nimechukuwa barua yangu psrs, dah! nimefungua huku natetemeka.
Kwa walichoandika ndani ni kwamba saili niliyofanya mwezi wa pili mwaka huu ndio imeniokoa.
Sasa naenda kuripoti kwa HR
Hakika.yale majengo ya psrs na baridi la asubuhi nitayamisi sana.
Msikate tamaa, endeleeni kufanya saili kadri zinavyotoka.
 
Daah Hongera sana asee mzee baba na ukawe mtumishi mwema👏
 
Hongera mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…