Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Njaa ***** Unawajua ww watu wa halmashauri walivyo Miungu watu
Hawa watu ni hatari, kuna sehemu nilienda kuchukua cheti cha kuzaliwa cha mtoto wangu, ile naenda kuchukua control namba nilipie nilikuta watu zaidi ya ishirini( mwenye muda mchache pale ana miezi miwili) wanafuatilia.
Kwamba walishajaza form zao waliambiwa vyeti vikitoka watapigiwa simu. Aisee niliona huruma sana ila ikabidi nifanye kilichonipeleka nikahakikisha naondoka na cheti cha mwanangu.
 
ila mabaya hayadumu tunakalibia kufika, viburi na zalau zitaisha, kuwaita watu kazini inakuwa kama ni jambo gumu sana, watu kumbe wapo kibao wa nyuma sana hawaitu kazini, sijui hii nchi na natural resource zake ni za wateule wachache!. Nimeamini mabadiliko ya kuongea ni kazi bure kwa tz yetu , mamlaka yote ya nchi yako chini ya raisi wa nchi sasa why kwingine kuonekane kunasuasua, kuna msemo mmoja kule mara nimekuwa nikiusikia na kuambia na viongozi wa kitamaduni ulinzi kipindi cha vijana mnavyo fundishwa kutumia siraha zao za kimiutamaduni, msemo unao sema “unazaliwa mara moja na kufa ni mara moja vita ni vita mura(mbani), pambania haki yako usikubali kuonewa dhalau kwetu mwiko”
(“Kwivurwa ni rumwe na kukwa ni rumwe, evita ni vita mbani(mura),opambanilie ehaki yazo otikilirya kuonerywa dhalau kwetu mwiko”)😁
 
Bora hata ingekuwa ni watu wa kusubili kupangiwa kutoka data base, kumbe kuna watu wengi tu ambao hata mtu mmoja ajachomolewa kutoka katika usahili wao wa oral, na mwaka unakalibia kuisha ni mienzi mingi isha pita, hivyo inapelekea mtu kumchanganya katika malengo yake ya maisha bora hata angejua moja hakuna ajira tu kuliko kusababishia mtu mapresha ya bure tu
 
Kiongozi unashangaa mwaka 1 kuna wengine wanachomolewa wa mwaka 2022......
 
Kiongozi unashangaa mwaka 1 kuna wengine wanachomolewa wa mwaka 2022......
Ivi umeelewa kweli kuna tofauti ya database na real placement, hao wa 2022 ni real placement or data base na mm nazungumzia real placement kulingana na tangozo la kazi
 
Mm ninachokiona ndugu ..ukiappply kazi Serikali ukaitwa na kwenye mchujo na kufika oral vzr usitegemee kuitwa kwa haraka ..yani hayo mategemeo yafute kichwani hii itakupunguzia wewe mawazo mengi ..yani ni kama unafanya zako oral Kisha tembea mbele unaendelea na mishe nyingine izo ndogondogo Ili kupata pesa kdg ..lakini ukitegemea tu kwa haraka baada ya oral ndugu yangu hayo mapresha yatakukumba tu ..kikubwa Fanya zako oral afu Kisha Mungu siku yoyote atabless tu unashangaa umeitwa ..
Hii ndo nchi yetu ndugu ishi kwa akili tu .Just an advise tu ..
 
Ivi umeelewa kweli kuna tofauti ya database na real placement, hao wa 2022 ni real placement or data base na mm nazungumzia real placement kulingana na tangozo la kazi
Mm nilidhani database watu wanawekwa waliofaulu baada ya waliohitajika wametimia,lakini maajabu ata nafasi zilizohitajika ni zaid ya miezi au mwaka hawajaitwa sasa ndipo nashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…