Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Maana yake nn umfanyishe mtu afu akae muda mrefupn
Ujue shida ni upuziaji wa watu waliko katika mamlaka, hapo suala la utashi na uajibikaji hawalipi kipa umbele, ndo Kama tuliyo yaona jana kenya, walisema na kulalamikia hiyo finacial bills ila watu wenye authorities wanapuuzi kuwasikiliza wakeleketwa na kujiaminisha watafaya nn, ila kumbuka nguvu ya uma ni kubwa kuliko Nguvu ya dola, kiukweli tz inachosha sana na wanasiasa
 
Mm nilidhani database watu wanawekwa waliofaulu baada ya waliohitajika wametimia,lakini maajabu ata nafasi zilizohitajika ni zaid ya miezi au mwaka hawajaitwa sasa ndipo nashangaa
Ndo ilivyo baada ya kupangiwa wale wanao hitajika, wanao baki kama wamefaul no tunasema database sasa
 
Kiongozi kuwa mpole kunamikeka utaona tena 2022 ...Ndo utajua Utumishi hawaeleweke...
Ww mikeka unayoona zaidi ni ya nyuki wadogo....
Ukweli ni kwamba shida haiko tu kwa utumishi ww ingia ndani ya nchi ndo utajua mengi, ukiona mtu mzima analalamika kuhusu tz yake jua kuna mengi anayajua nyuma ya pazia, haya mambo yana system ndefu sio tu hizi ajira za utumishi hata katika vyombo vya ulizi na usalama vyote viko hivyohivyo katika usawa haki na uwazi katika ajira ni kipengere
 
Ngoja niwamegee siri kidogo.

Taasisi zinaingiza watu kimya hasa wanaotoka Halmashauri na ndio maana unakuta.
Watu wanafanya interview hawaitwi kazini hii inatokana nafasi zao zinachukuliwa na waamiaji.

Kingine utumishi wananishangaza sana wanafanyisha watu kibao interview ila wanaowaita kazini ni wachache sana.
 
Hii imenitokea mimi tulifanya interview watu kama 100 Nakitu mwaka 2023 mwezi wa nane.

Kiukweli katika wale Watu 100+ mpka naongea muda huu hakuna aliyeitwa kazini.

Je unataka kuniambia sisi mia watatumaliza lini ndo maana leo hii unaona utumishi wanaenda hata mwaka na zaidi.
 
Mm nilidhani database watu wanawekwa waliofaulu baada ya waliohitajika wametimia,lakini maajabu ata nafasi zilizohitajika ni zaid ya miezi au mwaka hawajaitwa sasa ndipo nashangaa
Ngoja nikupe kashule.

Kuna interview mimi niliitwa mwezi wa sita mwajiri alikuwa anahiaji watu 6 na oral wakafanya 66

Sikuenda ila waliendelea kuita watu kazini hadi leo hii nayoongea.

Mimi nikaenda wa nane nikapita oral tukiwa kama 100+ walikuwa wanahitaji watu 50 ila real replacement wakachukua 23 tu nadhani wengine walipachika wanaoamia maana hiyo taasisi ya hela.

Kwa mantiki hiyo Psrs wanaangalia wa kwanza kuingia oral kama alipata 50 ndo wataanza kumtoa ndo maana mpaka leo wamekomaa na database ya mwezi ule wa sita mimi sikuenda ila yetu ya mwezi wa nane hawajagusa hata mmoja.

Kinachonishangaza je sisi ambao tulifanya oral na mfano tulifaulu ikatokea tumefika mwezi wa nane bila kuitwa kazini je Database yetu itakuwa imeexpire.

Japo Naona utumishi now wanachukuwa watu zaidi ya mwaka
 
Dah aya bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…