Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nakumbuka panel yetu alikuwep mmoja mwnye nafasi kama tuliyoomba kutoka Tasaf..tena wakat tumeitwa wte pale wanajintroduce na kutupa moyo yeye maneno yake nakumbuka yalikua mawili yamestick mpaka sasa kichwani mwangu alisema la Kwanza tumtangulize Mungu na la pili alisema Bahati akasistiza kama ni bahati yako utaipata tu apa mpaka kichwa kilipata moto na kibarid kile🙃
Bahati bahati bahati bahati bahati
Wengine imekuaje,wamezaliwa na mikosi? Kuna watu wanamaliza chuo mwaka huo huo baada ya graduation na kupata vyeti anapata kitengo serikalini tena kupitia utumishi na wengine wana miaka 12 mtaani toka agraduate

Hapo kwenye bahati nakubaliana naye 100%
 
Back
Top Bottom