Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Sawa tupe nondo izoSoon nawapa pdf ya psrs wanayotumia kumpata mtu
Shusha mzigo mkuuSoon nawapa pdf ya psrs wanayotumia kumpata mtu
Tukutane Tar 15 mzee no PDfna hii weekend yote yatakua yamekimbilia dar kwaajili ya sabasaba [emoji1787] [emoji1787]
watoe hata tangazo la halmashauri basiTukutane Tar 15 mzee no PDf
Wameandika kama kada ina practical wanajumuisha practical na oral noma sanaKuna pdf hapo juu nimeweka wanayoifuata psrs kumpata mtu.
Tukutane tar 15/7Dah leo imepita kavu...nimeingia web sijaamini
Dah sawa tu..Tukutane tar 15/7
Noma sanaMateso bila chuki
Nimechek leo mlikuwa mnatishana kama kawaida yenu...mara oral brahbrah nyingNoma sana
😂😂😂yani ni balaaNimechek leo mlikuwa mnatishana kama kawaida yenu...mara oral brahbrah nying
Kama Bunge linapitisha sheria na kanuni za Taasisi kusimamia zinavunjwa...Sembuse hao wanatunga wao...
Duu we jamaa yaani ushachukuliwa na TRC juzi tu ata majukumu hujaanza,ushakuwa na pdf la psrs wanayotumia kumpata mtu😂😂😂Soon nawapa pdf ya psrs wanayotumia kumpata mtu
Bahati bahati bahati bahati bahatiNakumbuka panel yetu alikuwep mmoja mwnye nafasi kama tuliyoomba kutoka Tasaf..tena wakat tumeitwa wte pale wanajintroduce na kutupa moyo yeye maneno yake nakumbuka yalikua mawili yamestick mpaka sasa kichwani mwangu alisema la Kwanza tumtangulize Mungu na la pili alisema Bahati akasistiza kama ni bahati yako utaipata tu apa mpaka kichwa kilipata moto na kibarid kile🙃