Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Mtatuuaaa we week 2 sio poa na hakuna guarantee ya kupata placementAnzia tarehe 15 nakuendelea huko
Sema wafanyakazi wa PSRS kma wanaenjoy sanaaa,au mwaonajeInasaidia nini na placement hawatoi, shenzi type hawa
Angalia mwezi wa 5,6 placement zimeanza tar 14,15Mtatuuaaa we week 2 sio poa na hakuna guarantee ya kupata placement
Aise nllichek nkaona, labda wanawez kuchange 😂😂,halafu nilidownload zile pdf nakuzoom vzur😃😃daah ni kukosa kaziAngalia mwezi wa 5,6 placement zimeanza tar 14,15
Online writtenSiku hizi interview zinafanyika online au ndio mpaka kwenda Udom?
watakua nayoIvi watendaj hakuna data base yao?
mwanga yule jamaaT-Pain kaondoka na pdf zake
Hawana hiz znafanyika wilayan tuwatakua nayo
Mm siwaamin washenzi kuna taasisi nazisubiri wachomoe Jina languAise nllichek nkaona, labda wanawez kuchange [emoji23][emoji23],halafu nilidownload zile pdf nakuzoom vzur[emoji2][emoji2]daah ni kukosa kazi
Ata mm sijaamin kama haipoMe naona Leo pdf kama itakuwepo vileee
eti geto😂😂Huu ni mwaka wa mwisho kufanya interview psrs. Nimechoka kusubiri placement zaidi ya mwaka, 2025 hata interview ikifanyikia geto sishiriki
Kwamba unaikomoa serikaliHuu ni mwaka wa mwisho kufanya interview psrs. Nimechoka kusubiri placement zaidi ya mwaka, 2025 hata interview ikifanyikia geto sishiriki
Saana, vima hawa😂Sema wafanyakazi wa PSRS kma wanaenjoy sanaaa,au mwaonaje
Tukutane tar 15mambo ya kisengelema utazani tunasubilia placement za kwenda kumwona sir god...