Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu naombeni namba za simu za ajira Portal, mana nataka nijihakikishie jambo kwanza kabla ya deadline 🙏
 
Screenshot_20240702_092231_Instagram.jpg
 
Mm kila kitu namaliza kwenye simu. naandika barua kwenye simu, sign kwenye simu na natuma, na nimeitwa kwenye interview mara mbili.
Hajauliza interview anauliza kuhusu letter ya kuomba kuchange email.. Mimi nilishafanya hvo na ndo nimemuelekeza walichonielekeza
 
Hivi hawa jamaa zako kwenye maonesho yabiashara wanaonesha biashara gani wanayofanya!

Tuliaaa😂😂😂
Kuelekezwa jinsi ya kujiunga ajira portal na changamoto nyingine km unazo watazitatua..mm nitaend kuuliza kuhusu placement na nitawarecord😂
 
Back
Top Bottom