Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Web mbona nzito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna muda inakuaga hivo hiyo sijui ni majobless tunapigana vikumbo😁Web mbona nzito
😂😂😂Kuna muda inakuaga hivo hiyo sijui ni majobless tunapigana vikumbo😁
Niliwapigia simu nikaelekezwa kuwaandikia barua, nikaandika wakabadilisha chap within three daysHow to change email n ajira portal account?
web panatia huruma aiseeLeo wako busy na mwaka wa mpya wa serikali na sabasaba
Kaka tusikate tamaa mpaka tuvae suti.web panatia huruma aisee
Una waandikia through email au physicalNiliwapigia simu nikaelekezwa kuwaandikia barua, nikaandika wakabadilisha chap within three days
mbona kwangu inafunguka vizuri tuuWeb haifunguki sjui kunapakiwa uko😊
hiyo ni mustKaka tusikate tamaa mpaka tuvae suti.
Kwng haikubal 🤔mbona kwangu inafunguka vizuri tuu
itakua networkKwng haikubal 🤔
Barua kwa mkono, afu unascan unatuma kwa emailUna waandikia through email au physical
Sawa sawa, Thank you [emoji120]Barua kwa mkono, afu unascan unatuma kwa email
Hmn noma usiwazeSawa sawa, Thank you [emoji120]