Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm kila kitu namaliza kwenye simu. naandika barua kwenye simu, sign kwenye simu na natuma, na nimeitwa kwenye interview mara mbili.Barua kwa mkono, afu unascan unatuma kwa email
Naona kwenye placement wamekizima😃haya mahalmashauri yatatuuwa 🙌
Yaniii hii nchi hii badala watoe ajira daaah kazi ipo
Mnipe kazi niwalipe basi Dah nimechoka kukaa na deni lenu
Pinacoladee yupo TRA HQ 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dada pina mkeka wiki sidhani mama?Yaniii hii nchi hii badala watoe ajira daaah kazi ipo
Kaka mkeka unaendaje?haya mahalmashauri yatatuuwa [emoji119]
Hivi hawa jamaa zako kwenye maonesho yabiashara wanaonesha biashara gani wanayofanya!hiyo ni must
Tuliaaa😂😂😂haya mahalmashauri yatatuuwa 🙌
Hajauliza interview anauliza kuhusu letter ya kuomba kuchange email.. Mimi nilishafanya hvo na ndo nimemuelekeza walichonielekezaMm kila kitu namaliza kwenye simu. naandika barua kwenye simu, sign kwenye simu na natuma, na nimeitwa kwenye interview mara mbili.
Mmmh kwahyo wk ijayo ndo tutegemee mkeka?Dada pina mkeka wiki sidhani mama?
😂😂😂ata ukimfichua hakuna ata donge nono utapewaPinacoladee yupo TRA HQ 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuelekezwa jinsi ya kujiunga ajira portal na changamoto nyingine km unazo watazitatua..mm nitaend kuuliza kuhusu placement na nitawarecord😂Hivi hawa jamaa zako kwenye maonesho yabiashara wanaonesha biashara gani wanayofanya!
Tuliaaa😂😂😂
Kabisa😃Watuajir tuwalipe maden yao
😂 Watoe pesa ili tuanze kuwachoma washikaji zetu kimya kimya
Sawa, ila pia ku-type n poa pia.Hajauliza interview anauliza kuhusu letter ya kuomba kuchange email.. Mimi nilishafanya hvo na ndo nimemuelekeza walichonielekeza