Mkuu hii kauli usije kumtamkia mtu hadharani...mipango ya Mungu ni tofauti na yako
Unatamani kwenda dom🤣vimulimuli vya call for interview vimepungua ghafla
pinacoladee umekopa bando 🤣 🤣Unatamani kwenda dom🤣
ingia youtube tu ngoma mpaka j3 hiiUnatamani kwenda dom🤣
Shukuru Mungu ushalamba asali,ngj sie tuendelee kusubir 😂Ila madereva Wana haki ya kuchukiwa aisee sio poa kila mkeka
Hongeraaaaaaa Butiiii jamani,kila la kheriAlhamdulillah! Mungu mkubwa nashukuru nimelamba asali.
Asante sanaaaaaHongeraaaaaaa Butiiii jamani,kila la kheri
Hongera sanaa Kiongozi.....Ukawe mtumishi mwemaAlhamdulillah! Mungu mkubwa nashukuru nimelamba asali.
Insha'allahHongera sanaa Kiongozi.....Ukawe mtumishi mwema
Hongera sana mzee baba asee, ukawe mtumishi mwema sasa👏Insha'allah
dahh hongera kakaAlhamdulillah! Mungu mkubwa nashukuru nimelamba asali.