Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

TRC TENAUKO MKAONGEZE RECEIVED
TRC inatoa matangazo ya technician na certificate tu vp kuhusu bachelor?, Al afu bachelor nyingi za mechanical, electrical na Automobile Engineering ziko data base ya psrs why wasizitoe maana wapo wengine hata ile real placement hawajapangiwa bado na miezi imekatika kalibia mwaka sasa!
 
Back
Top Bottom