Pdf?kimeshanuka uko leteni shuhuda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pdf?kimeshanuka uko leteni shuhuda
Mzee huyu Tpain achana nae akili fupiPdf?
😂😂😂😂😂Mzee huyu Tpain achana nae akili fupi
Huyo ndo tahira wetu akicoment kitu kipuuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tahira babaako huoni pdf hilo pimbi ninHuyo ndo tahira wetu akicoment kitu kipuuzi
Kichwa kibovu sana bora ulivyokufa umefufukatahira babaako huoni pdf hilo pimbi nin
Hana UTU.IT wa sasa mtoto wa kigogo...
Yule IT wetu alipigwa fitna itakuwa...alitujali sanaHana UTU.
Jumatatu hadi ijumaa.
Saa 11 mwisho saa 12 jioni.
Hatoki hum0 kwa mwezi pdf 6
utumishi na wenyewe waweke hii kina T-pain watoe kero zaoOfisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko
Ndugu wana JamiiForums, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kupitia thread hii, tutapokea Maoni, Ushauri, Malalamiko, Mapendekezo yako Mwananchi. Tunakuhakikishia kuchukua hatua stahiki kwa haraka zaidi kwa kile utakachokiwasilisha kwetu. Ikumbukwe kuwa tangu...www.jamiiforums.com
Uyo jamaa sijui kajiamini nn...hasira za walimu ataziweza kweliutumishi na wenyewe waweke hii kina T-pain watoe kero zao
🤣 🤣 🤣 wataaga mashindano wenyeweUyo jamaa sijui kajiamini nn...hasira za walimu ataziweza kweli
Typo poa kaka za siku nyingii
Hawawezi kutoa watapigwa za uso wakimbie kweupe😂😂,mm naomba Takukuru ikawachunguze na wenyewe kuna moja mbili tatu watang'amuautumishi na wenyewe waweke hii kina T-pain watoe kero zao
hujalala tu au unazani wanaweza wakakosea bahati mbaya 🤣 🤣Hawawezi kutoa watapigwa za uso wakimbie kweupe😂😂,mm naomba Takukuru ikawachunguze na wenyewe kuna moja mbili tatu watang'amua
Kesho kuna pdf wakuuhujalala tu au unazani wanaweza wakakosea bahati mbaya [emoji1787] [emoji1787]