Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Sir God atie baraka zake tuu, ngoja nione na hii itakavyokuwa japokuwa imenifadhaisha ilivonigomea japokuwa nna qualifications.huwezi jua ndugu yangu yaani hizi interview hazitabiriki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sir God atie baraka zake tuu, ngoja nione na hii itakavyokuwa japokuwa imenifadhaisha ilivonigomea japokuwa nna qualifications.huwezi jua ndugu yangu yaani hizi interview hazitabiriki
ulifanikiwa kuapply kwa kubadilishaSir God atie baraka zake tuu, ngoja nione na hii itakavyokuwa japokuwa imenifadhaisha ilivonigomea japokuwa nna qualifications.
Huko Uchawa mwingi bila hivyo hutoboi(Madiwani si Watu wanzuri wanaweza kukupoteza huku wanakusifia kwa Utendaji kazi vinzuri)....Hongereni mliopata placements na ambao bado ombeni mpate sehemu nzuri kuna sehemu unaenda dah aisee majanga unakuta watu wa mikataba wananguvu kuliko hata wa. Kutumu na ndio machawa hasa wa mamboss full kukulengesha sehemu sio halafu wananenda kukulipua kwa wakubwa huko
Yes pale kwenye kuweka title ya course nimeweka diploma in fine arts ila kwenye kuweka cheti nimeweka cheti changu chenyewe cha diploma in Film production ikanikubalia, japokuwa hata hy film production ilikuwepo kwenye post.ulifanikiwa kuapply kwa kubadilisha
basi we sikilizia tuYes pale kwenye kuweka title ya course nimeweka diploma in fine arts ila kwenye kuweka cheti nimeweka cheti changu chenyewe cha diploma in Film production ikanikubalia, japokuwa hata hy film production ilikuwepo kwenye post.
Yah ngoja tuonebasi we sikilizia tu
hcho kitu kibaya sana...unakuta intern ana 5 yrs , anakuona kama umemzibia rizikHongereni mliopata placements na ambao bado ombeni mpate sehemu nzuri kuna sehemu unaenda dah aisee majanga unakuta watu wa mikataba wananguvu kuliko hata wa. Kutumu na ndio machawa hasa wa mamboss full kukulengesha sehemu sio halafu wananenda kukulipua kwa wakubwa huko
Hatari mkuu chochoro zote anazijua na anaogopeka full kupita pita kwenye ofisi zisizo zake kupiga umbea tu hawa watu ni shidahcho kitu kibaya sana...unakuta intern ana 5 yrs , anakuona kama umemzibia rizik
Nawapata hao...'wametuletea dogo hata hajui kazi' kauli zao hizoHatari mkuu chochoro zote anazijua na anaogopeka full kupita pita kwenye ofisi zisizo zake kupiga umbea tu hawa watu ni shida
Na.mkataba wa ndani ya halmashauriTRC uliomba kama mwajiriwa au TARURA na Halmashauri ulikua unajitolea?
Hahahaha brother hii ni kweli kabisa! Mimi Wazazi wangu Wote walikua watendaji wa halmashauri kabla ya kustaafu! Visa haviishi mara leo takukuru kesho mahakaman mara tume, halmashauri mnafatiliana sana yani vijicho haviishimzee usiombe japo zinatofautian kidogo na maeneo ,kuna maeneo yana mapato kama halmashauri za geita,dar es salaam, kunasehemu zingine hazina mapato yaani fedha ya miradi ikija na mradi ukashindwa kukamilika basi huwa ni ngumu kupata fedha ya kukamilisha mradi kwa mapato ya ndani, ila kwa 90% halmashauri zote zinafanana.
huku kwanza kazi ni nyingi kila siku haziishi
malipo kidogo bado hujajiiingisza kwenye masuala ya mikopo
unamabosi wengi, hadi diwani wa kata unamuogopa
maisha yako wanayafatiliwa na kila mtu ikitokea umepata fedha ukafanya maendeleo kuwazidi wenzio unaweza tengenezewa zozo na mabosi plus pccb kuwa umeiba fedha, labda familia yako uipeleke mbali kabisa na sehemu ya kazi
ukinunua gari tu kali utahojiwa fedha umetoa wapi hata kama ni za jasho lako, hii kitu siioni kwa taasisi zingine kama TRA, mtaani ukiona nyumba kali ukaambiwa ni mali ya afisa wa TRA hakuna shida ila ukiambiwa ni ya mwalimu au mhandisi au mtendaji haloo! lazima wakufatilie kwa ukaribu.
Sjambo mimi,za wewePin hujambo?
Nakupigiaaaa😂😂😂😂😂pinacoladee shukuru kwa kila jambo.hivi ungejiskiaje ungeliona jina lako humo🤣🤣
Njema kimya sana nikajua ushaolewaSjambo mimi,za wewe
🤣🤣🤣sina hisia za kuolewa, nitafute kazi kwanzaaNjema kimya sana nikajua ushaolewa
Usikate tamaa.Akiba yangu yote imeisha,saivi nitambwela mbwela ata kuchungulia web nishagiv up
Sawa mkuu,ila sio poa aisee😂Usikate tamaa.
Mpaka upate kile unacholitaka maishani.
Haujawa wa kwanza ww.
Mm nasubiri database yangu I expire nipumzike na mimiSawa mkuu,ila sio poa aisee[emoji23]