El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
pinacoladee shukuru kwa kila jambo.hivi ungejiskiaje ungeliona jina lako humo🤣🤣Nilidhan ina mb zake za kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pinacoladee shukuru kwa kila jambo.hivi ungejiskiaje ungeliona jina lako humo🤣🤣Nilidhan ina mb zake za kutosha
VETA ipo chini ya wizara ya elimu siyo Tamisemi mkuu upo sahihiveta siyo local bhana! wapo chini ya wizara ya elimu nazani mpo chini ya tamisemi japo nyie mishahara yenu minono, mimi nilikosa VETA japo oral nilifika
pdf la leo nimeona watu wa health naona umemshukuru mungu kutokuwepo humo 🤣 🤣Halmashauri hauwezi kuishi bila mkopo.
Kwanza mshahara mdogo sana.
Inabidi ufanye jambo nje na kutegemea mshahara kama kilimo au biashara
TRC uliomba kama mwajiriwa au TARURA na Halmashauri ulikua unajitolea?nasema nilianza na TARURA, now niko LGA halmashauri since 2020
VETA Haiko local government, VETA ni mamlaka ya elimu ya ufundi na mafunzo stadi iliyo chini ya wizara ya elimu na scale zao ziko tofauti na wale local governmentDaaah hatarii Sana Mkuu,Mimi nilipata VETA juzii nikaona tupo local government ndio maana nilikuwa naogopa coz mmesema LGA pote mambo ni hayo hayo
Pengine alikuwa intern...mtu anajitolea miaka mitanoTRC uliomba kama mwajiriwa au TARURA na Halmashauri ulikua unajitolea?
yeah kweli ila daaaa 5 years kujitolea si mchezo mzee baba😀😀Pengine alikuwa intern...mtu anajitolea miaka mitano
Haah mimi sitaki kiukweli Halmashauri Nimetumia nyingi kuingia Oral.pdf la leo nimeona watu wa health naona umemshukuru mungu kutokuwepo humo [emoji1787] [emoji1787]
vipi wakikuvuta uko hutaenda 🤣 🤣Haah mimi sitaki kiukweli Halmashauri Nimetumia nyingi kuingia Oral.
😀😀😀Haah mimi sitaki kiukweli Halmashauri Nimetumia nyingi kuingia Oral.
Si ndio wamejaa kwenye taasis nyingi kwa sasa...yeah kweli ila daaaa 5 years kujitolea si mchezo mzee baba😀😀
Anaanzaje kugoma...hahahaavipi wakikuvuta uko hutaenda 🤣 🤣
Hy inataka degree afu mm nna diploma.Mbaga Jr nafasi yako ya TBC hii photojournalist umesha apply
nimeona leo tbc wametoa jina kwenye pdf unaweza shangaa siku umejionaHy inataka degree afu mm nna diploma.
Hvy nataka kuomba ile ya assistant producer, imenikubalia kuomba japokuwa nimefanya usanii kdg mana qualifications ambazo zipo ninazo ila nashangaa inanikatalia hvy nikaweka kuwa nna diploma in fine arts ila pale kwenye kuweka chet nikaweka cheti changu cha diploma in Film production ndio ikakubali sasa cjui wataniita kwenye interview au vp
halafu si watu wengi wanapakimbiaNi mwendo wa Halmashauri....!!!Inaonekana ilikuwa inahitaji waajiriwa Wengi sana....
Toka mwaka jana ni mwendo 💥💥
Ile oral ya Februari nilichokifanya 😂 we acha tuunimeona leo tbc wametoa jina kwenye pdf unaweza shangaa siku umejiona
huwezi jua ndugu yangu yaani hizi interview hazitabirikiIle oral ya Februari nilichokifanya 😂 we acha tuu