Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiba yangu yote imeisha,saivi nitambwela mbwela ata kuchungulia web nishagiv up
wengine kama ni databae imehapita huo mwaka ila kwenye web ni sako kwa bakoMm nasubiri database yangu I expire nipumzike na mimi
Hata kesho piaLeo kuna harufu ya pdf
Watoe tu maana tumechoka....Hata kesho pia
Kuna shida utumishi....nafasi za taasis zimejaa bila wao kujua,Utumishi wa Sasa tumewakalili muda wao wa off mwisho saa 12 jioni.
Mwisho ijumaa.
Wa miaka ya zamani walikuwa hawatabiriki pdf mara jumapili mara saa 6 usiku mara sikukuu matumaini kama yote ukija jf shuhuda kedekede leo hii wamekuwa kama manurse wa zamu.
Hawana hata mvuto
Tushapigik hatupendez,ngoj tupate check no na si tupendeze🤣Mrembo anakosaje vocha?
Tushapigik hatupendez,ngoj tupate check no na si tupendeze🤣
Watupeleke hata huko halmashauriKuna shida utumishi....nafasi za taasis zimejaa bila wao kujua,
Wanabaki na za halmashauri tu
Kwel...tupate chochote kitu....halmashauri ya SumbawangaWatupeleke hata huko halmashauri
Wanahamishana kimya kimya bila hata pdf jobless mnalia njaaKuna shida utumishi....nafasi za taasis zimejaa bila wao kujua,
Wanabaki na za halmashauri tu
Wakuu nijibuni hii text yangu nahitaji kujua hii ishuivi database ni baada ya oral au after placement.
after oral mkuuWakuu nijibuni hii text yangu nahitaji kujua hii ishu
Dah mie mwamba mmoja inasemekana alitumbuliwa vyeti feki jamaa tukiwa wawili tunapiga kazi fresh kwani hakuna kigeni kwenye kazi ila sasa akiwaona maboss kila unachofanya anakukosoa mbele yao juzi kati nimetolea uvivu wiki nzima hii kavuta midomo hawa watu ni shidaNawapata hao...'wametuletea dogo hata hajui kazi' kauli zao hizo
Yah kikubwa check no,job security ni muhimu sanaWatupeleke hata huko halmashauri