Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Amiiin...ukute ushachungulia nimo kwnye pdf zijazo ππWakati wako Sasa unefika
ππkwahyo niandae tu nauli apaPinacoladee jiandae, ππ
Mambo on fire!
Hii nzuri hii mkuuπ uko home tu na Salary inaingiaKuna baadhi ya watu kwenye baadhi ya taasisi walianza kupata Salary kabla ya kuitwa rasmi kazini.
Hilo lilitokana na kuwa, walipoenda kuripoti na ile barua ya kutoka PSRS wakiwa na dox zote nyingine wakaenda kujaza details zao zote then wakaambiwa wataitwa tena kuja kuanza kazi rasmi.
Sasa kwa kipindi wakiwa wanasubiri tayari wakawa wameanza kupata Salary.
Halafu naona huu mwezi wa moto huuπ« Naomba Mungu akapate kutuona wotePinacoladee jiandae, ππ
Mambo on fire!
pinacoladee kwaiyo mwezi huu tusicheze mbali na web sio?Halafu naona huu mwezi wa moto huuπ« Naomba Mungu akapate kutuona wote
Washa vimulimuli vyako labda atawah kuachiatrc wametoa pdf uko
itakua network tu mbona huku naingia fasta tuIT ana upload mzigo nini, mbona site nzito!
Oh kumbe network tu.itakua network tu mbona huku naingia fasta tu
umeangaika na utumishi umeamua kujiajiri sasa.Kwa mahitaji ya vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF) na nyumba NZIMA ZA KUPANGA za kupanga, fremu za biashara Moshi mjini za kila aina na bei zake kwa miji ya MOSHI na ARUSHA WASILIANA NAMI 0672701329/0756294771
DALALI Lexus SUV
Mmmh unatumia mtandao gnπitakua network tu mbona huku naingia fasta tu
Adi kwangu mkuuπOh kumbe network tu.
kaa na manyumba yakoKwa mahitaji ya vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF) na nyumba NZIMA ZA KUPANGA za kupanga, fremu za biashara Moshi mjini za kila aina na bei zake kwa miji ya MOSHI na ARUSHA WASILIANA NAMI 0672701329/0756294771
DALALI Lexus SUV
kazi ni kaziumeangaika na utumishi umeamua kujiajiri sasa.
airtel 5gMmmh unatumia mtandao gnπ