Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yaan hujapatiwa appointment letter, Wala hujaingizwa kwenye payroll ulipwe mshahara kwa kazi gani labda.
Kuna baadhi ya watu kwenye baadhi ya taasisi walianza kupata Salary kabla ya kuitwa rasmi kazini.

Hilo lilitokana na kuwa, walipoenda kuripoti na ile barua ya kutoka PSRS wakiwa na dox zote nyingine wakaenda kujaza details zao zote then wakaambiwa wataitwa tena kuja kuanza kazi rasmi.

Sasa kwa kipindi wakiwa wanasubiri tayari wakawa wameanza kupata Salary.
 
[emoji23] Salary na hawajaripoti kazini
Ukipeleka barua kutoka PSRS unaenda pamoja na vyeti vyako vyote. Hapo ndio kuripoti na utaombwa details zingine muhimu ili Mwajiri akamilishe taratibu za Ajira.

Sasa wakati anasubiri kukamilisha hizo taratibu ndio anawaambia warudi kwanza home watapigiwa simu ili wakaanze kazi.

Sasa hapo utasemaje hajaripoti?

Hapa mwajiri ndio anazingua tu!
 
Back
Top Bottom