Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😂😂😂Kama umepata TRC hamna kitu. Tabu Iko palepale
Hili ndio tatizo letu vijana wengi, tunapenda shortcut na kuaminishana katika kupata ajira yenye asali ya kutosha. Anza na kile kilicho mbele yako kuna watu wanapambana mtaani kuzipata nafasi za afis mtendaji wa kijiji na baada ya miaka 10 au 15 unakuta ni mkurugenzi wa halmashauri au mkuu wa idara flan. Maisha ni process na kila mmoja anamapito yake, stay positive!!
 
Umesema vyema, huyo mtoa mada nahisi hayajui maisha kabisa.
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Hili ndio tatizo letu vijana wengi, tunapenda shortcut na kuaminishana katika kupata ajira yenye asali ya kutosha. Anza na kile kilicho mbele yako kuna watu wanapambana mtaani kuzipata nafasi za afis mtendaji wa kijiji na baada ya miaka 10 au 15 unakuta ni mkurugenzi wa halmashauri au mkuu wa idara flan. Maisha ni process na kila mmoja anamapito yake, stay positive!!
You said it all
 
Hao walioitwa NPS ni database wote au walitangazaga nafasi hapa kati Kati kabla ya hizi za juzi
 
Hili ndio tatizo letu vijana wengi, tunapenda shortcut na kuaminishana katika kupata ajira yenye asali ya kutosha. Anza na kile kilicho mbele yako kuna watu wanapambana mtaani kuzipata nafasi za afis mtendaji wa kijiji na baada ya miaka 10 au 15 unakuta ni mkurugenzi wa halmashauri au mkuu wa idara flan. Maisha ni process na kila mmoja anamapito yake, stay positive!!
Umeongea sahihi sana mkuu, vijana hatupo tayari kuanzia chini, hata hapo TRC kuna watu wameanzia chini kabisa now ni waku wa vitengo na wakuu wa idara wanakula maisha sana tu
 
Mbona inakataa mkuu
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!

Jaribu tena labda mtandao
 
Back
Top Bottom