Shukrani kiongoziHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani kiongoziHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Hili ndio tatizo letu vijana wengi, tunapenda shortcut na kuaminishana katika kupata ajira yenye asali ya kutosha. Anza na kile kilicho mbele yako kuna watu wanapambana mtaani kuzipata nafasi za afis mtendaji wa kijiji na baada ya miaka 10 au 15 unakuta ni mkurugenzi wa halmashauri au mkuu wa idara flan. Maisha ni process na kila mmoja anamapito yake, stay positive!!😂😂😂Kama umepata TRC hamna kitu. Tabu Iko palepale
Umesema vyema, huyo mtoa mada nahisi hayajui maisha kabisa.Hili ndio tatizo letu vijana wengi, tunapenda shortcut na kuaminishana katika kupata ajira yenye asali ya kutosha. Anza na kile kilicho mbele yako kuna watu wanapambana mtaani kuzipata nafasi za afis mtendaji wa kijiji na baada ya miaka 10 au 15 unakuta ni mkurugenzi wa halmashauri au mkuu wa idara flan. Maisha ni process na kila mmoja anamapito yake, stay positive!!
You said it allHili ndio tatizo letu vijana wengi, tunapenda shortcut na kuaminishana katika kupata ajira yenye asali ya kutosha. Anza na kile kilicho mbele yako kuna watu wanapambana mtaani kuzipata nafasi za afis mtendaji wa kijiji na baada ya miaka 10 au 15 unakuta ni mkurugenzi wa halmashauri au mkuu wa idara flan. Maisha ni process na kila mmoja anamapito yake, stay positive!!
Database hiyoHao walioitwa NPS ni database wote au walitangazaga nafasi hapa kati Kati kabla ya hizi za juzi
Taasisi nyingne waige mfano wa NPSDatabase hiyo
Umeongea sahihi sana mkuu, vijana hatupo tayari kuanzia chini, hata hapo TRC kuna watu wameanzia chini kabisa now ni waku wa vitengo na wakuu wa idara wanakula maisha sana tuHili ndio tatizo letu vijana wengi, tunapenda shortcut na kuaminishana katika kupata ajira yenye asali ya kutosha. Anza na kile kilicho mbele yako kuna watu wanapambana mtaani kuzipata nafasi za afis mtendaji wa kijiji na baada ya miaka 10 au 15 unakuta ni mkurugenzi wa halmashauri au mkuu wa idara flan. Maisha ni process na kila mmoja anamapito yake, stay positive!!
Hongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifuAlhamdulillah! Mungu mkubwa nashukuru nimelamba asali.
Hongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifuAlhamdulillah, asali nimeilamba
Nimekasirika nimechoka interview ila nitafanyaje sasa.utawala2025 mwaka wako huu
Mbona inakataa mkuuKwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.
1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)
2. Ingia Invite & Earn
3. Bonyeza Redeem
4. Weka hii code 2ZJVO8ZK
Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.Mbona inakataa mkuu