El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
kwa huu upepo wa halmashauri nimeanza kuziogopa pdf 🤣 🤣Kaka haiwezekani mshahara wa hizo taasisi ni mara mbili ya mpwimbe sasa mm sitaki kuzuri
Mm hata hizi za afya nimeomba basi iskwa huu upepo wa halmashauri nimeanza kuziogopa pdf [emoji1787] [emoji1787]
halafu mi nahisi haya mahalmashauri ndio yatakuja kutuzoa aiseeUtumishi imepoteza mvuto na ma halmashauri zao.
Siku nitakapoliona jina langu halmashauri kiukweli sitafurahia.halafu mi nahisi haya mahalmashauri ndio yatakuja kutuzoa aisee
Sasa mkuu ss iv watu wngi wanasubir placement,yan interview nyng ss iv ni za halmashauri na wenyewe wapo kimyaSahvi huu uzi umekuwa wa vichekesho na kuulizia placement yale madini ya ki a wizy,mwifwa,hayapo tena inabidi mwenyewe urudi post za 2022 kurudi nyuma utazipata 😁😁😁 kinyume na hapo utaumbulia post za mchizi T pain😀😀
Na wengine kuulizia placement basi
Achana nae huyu miaka yao ulikuwa ukipambana unatoboa sio sasaSasa mkuu ss iv watu wngi wanasubir placement,yan interview nyng ss iv ni za halmashauri na wenyewe wapo kimya
Taasis zote za moto hazitangaz ajira,watu unataka wajadili nini,halmashauri kibao ndo znatangaza ajira watendaj nao wapo kimya hawana cha kujadili,sasa ivi asilimia kubwa umu wanasubir placement,vichwa vishapata moto tuanze kujadili mitihani wakati ata interview hakuna,interview tulivyofanya nazo wamegoma kutoa majibu yani hatuelew elew apa,may be kama una madini tupe tu yatatusaidia mkuuSahvi huu uzi umekuwa wa vichekesho na kuulizia placement yale madini ya ki a wizy,mwifwa,hayapo tena inabidi mwenyewe urudi post za 2022 kurudi nyuma utazipata 😁😁😁 kinyume na hapo utaumbulia post za mchizi T pain😀😀
Na wengine kuulizia placement basi
Kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaaAchana nae huyu miaka yao ulikuwa ukipambana unatoboa sio sasa
Daaah ivi hamchungulii kule PSRS muone sasa ivi kuna nn? Maana mngefanya tu simple research wala msingesem ivi but tuwape Summary ni kwamba nafasi za kazi nyingi ni za watendaji na ma lecture angalau..Yan saiv watu wanapambana wenyewe na material yao wamejifungia ndani
Na % kubwa bado hatujafanya izo aptitude test, hatuelew sana focus iko wap,angalau tungefanya mbili tatu atleast tungepata experience, lakini ndo nafasi za kazi hakuna...wenzetu ukisoma posts za nyuma za kina Mwifwa mpaka interview zilikua zinagongana same day mtu ana interview mbili au ndani ya wk 1 au mbili mtu ana interview 2 mpaka anajiuliza afanye ipi ache ipi sasa ivi izo ajira za kua naa interviews mbili ziko wapi.????Madini yapo sema mfumo wa maswali umebadilika...
multiple choice 50 qns wanagusa sehem nyingi...inatakiwa mtu ajiandae muda mrefu alafu pia kada zenye practical ndio balaa zaidi....hakuna kubahatisha
sasa ili usimpoteze mtu akakulaumu baadae, bora apambane tu
ukiangalia pdf utaona kuwa halmashauri zinabeba watu wengi wa database kwa sasa...kwahiyo sasa hv possibility ya kwenda halmashauri ni 80%Daaah ivi hamchungulii kule PSRS muone sasa ivi kuna nn? Maana mngefanya tu simple research wala msingesem ivi but tuwape Summary ni kwamba nafasi za kazi nyingi ni za watendaji na ma lecture angalau..
Ndio ndioooo mkuu,na zamani kulikua na mitaasis mitamuuuuu mweeee saiv sasa😂😂,ikifika 26/27 sjui kama kutakua na kipaumbele cha kutoa ajiraukiangalia pdf utaona kuwa halmashauri zinabeba watu wengi wa database kwa sasa...kwahiyo sasa hv possibility ya kwenda halmashauri ni 80%
Mwaka 2022,2023 ulikuwa best kwa utumishi na aisee ma interview kama yote ajira kama zote.Na % kubwa bado hatujafanya izo aptitude test, hatuelew sana focus iko wap,angalau tungefanya mbili tatu atleast tungepata experience, lakini ndo nafasi za kazi hakuna...wenzetu ukisoma posts za nyuma za kina Mwifwa mpaka interview zilikua zinagongana same day mtu ana interview mbili au ndani ya wk 1 au mbili mtu ana interview 2 mpaka anajiuliza afanye ipi ache ipi sasa ivi izo ajira za kua naa interviews mbili ziko wapi.????
Zitakuwepo nying tuNdio ndioooo mkuu,na zamani kulikua na mitaasis mitamuuuuu mweeee saiv sasa😂😂,ikifika 26/27 sjui kama kutakua na kipaumbele cha kutoa ajira
Wangejua hali tunayopotia hata wasingeongea zamani ukipambana unapata kazi sio miaka ya leoNdio ndioooo mkuu,na zamani kulikua na mitaasis mitamuuuuu mweeee saiv sasa[emoji23][emoji23],ikifika 26/27 sjui kama kutakua na kipaumbele cha kutoa ajira
Taasis zote za moto hazitangaz ajira,watu unataka wajadili nini,halmashauri kibao ndo znatangaza ajira watendaj nao wapo kimya hawana cha kujadili,sasa ivi asilimia kubwa umu wanasubir placement,vichwa vishapata moto tuanze kujadili mitihani wakati ata interview hakuna,interview tulivyofanya nazo wamegoma kutoa majibu yani hatuelew elew apa,may be kama una madini tupe tu yatatusaidia mkuu