Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah tumeambiwa tuwe wapole tuHivi hii psrs ni mali ya halmashauri tu au ?
Walinijibu hivyo wakati nime uppload tayr vyeti kwenye acc yangu.Mkuu unashida gan
Ok...course yako inahitaj uwe na board certification..mfano..engineer, pharmacist,CPA n.k? Au hiyo post walitaka mtu awe na chet hcho?Walinijibu hivyo wakati nime uppload tayr vyeti kwenye acc yangu.
Sio kweli bhana tanesco wanapitia utumishi na ajira nyingi wanatangazia utumishi hata ukienda kule utumishi ukaangali post za nyuma ajira utawaona tanesco mimi nina wadogo zangu wamepata kazi kupitia utumishi Tanescowale wajinga hawapitii psrs halafu wanachukuaga watu walichuo lao lipo masaki
Ila hii kuna rafiki angu yupo TRC aliniambia, mishahara ni midogo sana labda per diem zitakuwepo.. labda baadae wataboresha.Kuhama sio rahisi kihivyo kama unavyodhani
Ni kipengele na hata maokoto yao ni peanut
Mwaka huu hawajaachia ajira,sema taasis nyingi mwaka huu mmmhSio kweli bhana tanesco wanapitia utumishi na ajira nyingi wanatangazia utumishi hata ukienda kule utumishi ukaangali post za nyuma ajira utawaona tanesco mimi nina wadogo zangu wamepata kazi kupitia utumishi Tanesco
😂😂 dah💔Hii itakuwa kweli kupitia wadau wa TRC, sema now na njaa sana kama inafika 500k inatosha asee.
Nakumbuk interview za nyuma kama 3 ivi mm passport size ilikua not attached nikawa not shortlisted,jaribu kukagua vizuri kwenye account yko nn hujaattachWalinijibu hivyo wakati nime uppload tayr vyeti kwenye acc yangu.
zamani sawa ila sasa hivi no.tanesco watu wanaajiliwa lakini umeshawahi kuona tangazo utumishiSio kweli bhana tanesco wanapitia utumishi na ajira nyingi wanatangazia utumishi hata ukienda kule utumishi ukaangali post za nyuma ajira utawaona tanesco mimi nina wadogo zangu wamepata kazi kupitia utumishi Tanesco
Sasa diploma ulitaka ulipweje mkuu? Nijuavyo mm salary za diploma zina range hapo kwenye take home serikaliniHii itakuwa kweli kupitia wadau wa TRC, sema now na njaa sana kama inafika 500k inatosha asee.
Inatosha mkuu, otherwise ningekuwa TARURA auTANROAD au TPDC hapo ningesema walau 750,000 take home, wewe mkuu ulitaka ulipwe ngapi?Sasa diploma ulitaka ulipweje mkuu? Nijuavyo mm salary za diploma zina range hapo kwenye take home serikalini
Ndio ulisema mumekalishwa home zaidi ya miezi 2?Humu ndani mnaendeleaje? Poleni na stress manazopitia, naona TRC wametuita sijui ndio kupata check number, hata sielewi.
Nitazidi kuwapa feedback kwa tutakayopewa.
Nawasisitiza tu msichoke kuomba kazi.
Inatosha mkuu, otherwise ingekuwa TARURA,TANROAD Au TPDC ningesema walau 750k takehome.. ila kwa TRC kama itafika 500k takehome mimi kwangu inatosha, wewe mkuu ulitaka walipe salary kiasi gani?Sasa diploma ulitaka ulipweje mkuu? Nijuavyo mm salary za diploma zina range hapo kwenye take home serikalini
Hapana siyo mimi,Ndio ulisema mumekalishwa home zaidi ya miezi 2?