pelius laurent
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 331
- 601
Kuingia kwenye akaunti yangu imegoma, kuingia web yao imegoma pia, kuingia kwenye App yao napo imegoma. Sijui haya mamikosi yataisha lini?🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka watangaze ajira za afya...web imekua nzito kwel....Website haifunguki
Mbona ulijibiwa jana, usiadd kitu wapigie simu watakuweka kwenye majina ya nyongezaHakuna majibu?
Pia nilimuuliza kama post aliyoomba inahitaji awe certified..hakujibuMbona ulijibiwa jana, usiadd kitu wapigie simu watakuweka kwenye majina ya nyongeza
Jamaa hasomi replies huyuPia nilimuuliza kama post aliyoomba inahitaji awe certified..hakujibu
My Guess another pdf will be on date 15/7 ..Pdf la mwezi 3.6,10.
Haya lingine linafuata lini?
Ila halmashauri wanakomba watu ila taasisi haaah
Kweli pdf zimekuwa adimu...lkn mwezi huu zitaachiwa nying tuMy Guess another pdf will be on date 15/7 ..
MmmmnnnhKweli pdf zimekuwa adimu...lkn mwezi huu zitaachiwa nying tu
Leo wanaweza kutu-bless...Mmmmnnn
Mkuu kwemazamani sawa ila sasa hivi no.tanesco watu wanaajiliwa lakini umeshawahi kuona tangazo utumishi
Ngoja tuone ..Kweli pdf zimekuwa adimu...lkn mwezi huu zitaachiwa nying tu
Daaah kmmk. 😂😂😂😂nani akuonee wivu wewe kama unataka kupita bila interview wapanulie zaga ilo wakupe unesi
Fanya Follow upWalinijibu hivyo wakati nime uppload tayr vyeti kwenye acc yangu.
mie niko poa tu ndugu yangu nafukuzia pdf za halmashauriSijaingia mwezi mzima na no issue kweli mambo mengi
Kwann Taasisi walipane mishahara nzuri sisi wa halmashauri buyumie niko poa tu ndugu yangu nafukuzia pdf za halmashauri
ila naskia ni baadhi tu ya halmashauri kuna halmashauri ziko poaKwann Taasisi walipane mishahara nzuri sisi wa halmashauri buyu
Ningependa kuzifahamu izo halmashauri..ila naskia ni baadhi tu ya halmashauri kuna halmashauri ziko poa
Pina, kwa heshima ya nimekuona sanaa kwenye nyuzi hii na una bidii mno, nitafute Pm, then tutayajenga mengine.Daah mbn shuhuda hakuna jmn,pdf la jana hakuna aliyebahatika kulamba asali?