Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Scale zao zikoje?Ila hii kuna rafiki angu yupo TRC aliniambia, mishahara ni midogo sana labda per diem zitakuwepo.. labda baadae wataboresha.
Ngoja niende nikajionee kwa macho, nitakuja kuwapa mrejesho.
Basi kama ni hivi hata madaktari wasingeajiriwa huko kwenye hospitali basi , wakajaza clinical officers Hadi kuperform surgery , Maana uhusiano wa technician na Engineer Ndio uhusiano wa medical doctor na clinical officerDegree mnataka hela nyingi...alafu hamchelew kusoma masters
hiyo mipdf ya nguvu watu wanashukuru kutokuwepo watu hawataki kwenda mpimbwe etMipdf yanguvu
Pdf za kimbuzi mbuzi tuhiyo mipdf ya nguvu watu wanashukuru kutokuwepo watu hawataki kwenda mpimbwe et
sijui wenyewe psrs wanawaza nn....Basi kama ni hivi hata madaktari wasingeajiriwa huko kwenye hospitali basi , wakajaza clinical officers Hadi kuperform surgery , Maana uhusiano wa technician na Engineer Ndio uhusiano wa medical doctor na clinical officer
mpimbwe mbona kuzuri tu we utawala si utajiongeza na kilimo cha vitunguuPdf za kimbuzi mbuzi tu
halmashauri haziepukiki kwa miezi hii miwili ijayo ...hiyo mipdf ya nguvu watu wanashukuru kutokuwepo watu hawataki kwenda mpimbwe
Mimi nafanya mkataba halmashauri ndo maana natamani pdf ikitoka chap nishuke kwa taasisi za kueleweka .mpimbwe mbona kuzuri tu we utawala si utajiongeza na kilimo cha vitunguu
ehh kumbe una evidence kabisa 🤣 🤣Mimi nafanya mkataba halmashauri ndo maana natamani pdf ikitoka chap nishuke kwa taasisi za kueleweka .
Mpwimbe mambo ni ovyo sana.
sasa hiyo kazi ya mkataba ulipitia utumishi?.kama ni ndio ukichaguliwa sehemu nyingine hilo gap itakuaje sasaMimi nafanya mkataba halmashauri ndo maana natamani pdf ikitoka chap nishuke kwa taasisi za kueleweka .
Mpwimbe mambo ni ovyo sana.
Tamisemi kaka.sasa hiyo kazi ya mkataba ulipitia utumishi?.kama ni ndio ukichaguliwa sehemu nyingine hilo gap itakuaje sasa
Hongerenii saana sisi wa VETA bado tunasubiriia kupigiwa simuWale wa TRC tunaendelea kupigwa msasa jengo la TPA tower.
dah hadi raha yaniWale wa TRC tunaendelea kupigwa msasa jengo la TPA tower.
Hongereni sana.Wale wa TRC tunaendelea kupigwa msasa jengo la TPA tower.
Hongereni kumbe mumeanza binduction courseWale wa TRC tunaendelea kupigwa msasa jengo la TPA tower.
Mkuu kikubwa Una tgs yaani huitwi jobless uko uko mpimbwe jitihada zitokutoa kikubwa kazi, kazi kwanzahiyo mipdf ya nguvu watu wanashukuru kutokuwepo watu hawataki kwenda mpimbwe et
mie sina shida hata kufagia vyoo nipo tayariMkuu kikubwa Una tgs yaani huitwi jobless uko uko mpimbwe jitihada zitokutoa kikubwa kazi, kazi kwanza