Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hawaeleweki awa.sasa hivi tutasafiria nyota ya halmashauri inaonekana kuna pdf nyigi za halmashauri lakini wakitoa lazima watachanganya majina kazaa kutoka taasisi unaweza kujikuta umoumo..
Kweli watu wanahitajika wakatekeleze miradi...uchaguzi huo utawaambia nn wananchi
 
Hawaeleweki awa.sasa hivi tutasafiria nyota ya halmashauri inaonekana kuna pdf nyigi za halmashauri lakini wakitoa lazima watachanganya majina kazaa kutoka taasisi unaweza kujikuta umoumo..
Mwezi wa pdf huu na ujao.

Baada ya hapo interview mpaka leo zimetoka 4/

Tusubiri nyingi sana aisee
 
Habari ndugu wananchi wa mikoa ya​

ARUSHA na KILIMANJARO...,​

Kwa mahitaji ya...,​

1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) ,​

2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA ,​

3. Fremu za biashara KWA MIJI YA MOSHI na ARUSHA ,​

4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka​

4.1 Ofisi za taasisi,​

4.2 GODOWN ,​

4.3 KARAKANA (WORKSHOP) ,​

4.4 Sehemu au Jengo la kila aina ya shughuli za kiuchumi 5.MASHAMBA Kwa ajili ya kilimo , ufugaji​

6.Viwanja kwa ajili ya makazi vipo​

6.FULL FURNISHED APARTMENTS ZENYE KILA KITU NDANI ....​

kwa MOSHI na ARUSHA WASILIANA NAMI..​

0672701329/0756294771​

NB. MAELEKEZO YA KINACHOFANYIKA BAADA YA MTEJA KUKUBALI NA KURIDHIKA NA PRODUCT NI KUKUTANISHWA NA MMILIKI HALALI ................

DALALI Lexus SUV
T-pain mtu wako kaja uku
 
we mwache tutakuja kumpiga mtungo uzi mzima
 
kuzikwepa halmashauri kwa sasa ni ngumu...
kitakacho kutoa kwenye haya maisha ni ubunifu wako tu wa jinsi ya kuongeza kipato cha ziada...
Zaidi ya hapo, utaiba na kuishia jela
Nakubaliana na wewe ndugu ..saiv asilimia zaidi ya 70 ni kupata halmashauri..lakini kama mtu utajiongeza fursa Huwa zipo Kila mahala..maisha hayana formula kabisa naamini Kuna watu wapo halmashauri na wapo vzr kimaisha japo wanaweza wasie wengi
 
Back
Top Bottom