El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
Leo vipi Kuna dalili yoyote ya pdf la placement kweli?interview za utumishi naona ndio zimeanza sasa..
Hawaeleweki awa.sasa hivi tutasafiria nyota ya halmashauri inaonekana kuna pdf nyigi za halmashauri lakini wakitoa lazima watachanganya majina kazaa kutoka taasisi unaweza kujikuta umoumo..Leo vipi Kuna dalili yoyote ya pdf la placement kweli?
Kweli watu wanahitajika wakatekeleze miradi...uchaguzi huo utawaambia nn wananchiHawaeleweki awa.sasa hivi tutasafiria nyota ya halmashauri inaonekana kuna pdf nyigi za halmashauri lakini wakitoa lazima watachanganya majina kazaa kutoka taasisi unaweza kujikuta umoumo..
Mwezi wa pdf huu na ujao.Hawaeleweki awa.sasa hivi tutasafiria nyota ya halmashauri inaonekana kuna pdf nyigi za halmashauri lakini wakitoa lazima watachanganya majina kazaa kutoka taasisi unaweza kujikuta umoumo..
yaah ila huo wanane nahisi IT atakua kwenye gia namba tano pdf zitakua za kutoshaMwezi wa pdf huu na ujao.
Baada ya hapo interview mpaka leo zimetoka 4/
Tusubiri nyingi sana aisee
inaonekana uchaguzi ukiisha pdf zitakua zakutafuta na microscopeKweli watu wanahitajika wakatekeleze miradi...uchaguzi huo utawaambia nn wananchi
T-pain mtu wako kaja uku
Habari ndugu wananchi wa mikoa ya
ARUSHA na KILIMANJARO...,
Kwa mahitaji ya...,
1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) ,
2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA ,
3. Fremu za biashara KWA MIJI YA MOSHI na ARUSHA ,
4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka
4.1 Ofisi za taasisi,
4.2 GODOWN ,
4.3 KARAKANA (WORKSHOP) ,
4.4 Sehemu au Jengo la kila aina ya shughuli za kiuchumi 5.MASHAMBA Kwa ajili ya kilimo , ufugaji
6.Viwanja kwa ajili ya makazi vipo
6.FULL FURNISHED APARTMENTS ZENYE KILA KITU NDANI ....
kwa MOSHI na ARUSHA WASILIANA NAMI..
0672701329/0756294771
NB. MAELEKEZO YA KINACHOFANYIKA BAADA YA MTEJA KUKUBALI NA KURIDHIKA NA PRODUCT NI KUKUTANISHWA NA MMILIKI HALALI ................
DALALI Lexus SUV
2024/2025 ni mwaka wa kupambana tuingie utumishiinaonekana uchaguzi ukiisha pdf zitakua zakutafuta na microscope
Habari ndugu wananchi wa mikoa ya
ARUSHA na KILIMANJARO...,
Kwa mahitaji ya...,
1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) ,
2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA ,
3. Fremu za biashara KWA MIJI YA MOSHI na ARUSHA ,
4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka
4.1 Ofisi za taasisi,
4.2 GODOWN ,
4.3 KARAKANA (WORKSHOP) ,
4.4 Sehemu au Jengo la kila aina ya shughuli za kiuchumi 5.MASHAMBA Kwa ajili ya kilimo , ufugaji
6.Viwanja kwa ajili ya makazi vipo
6.FULL FURNISHED APARTMENTS ZENYE KILA KITU NDANI ....
kwa MOSHI na ARUSHA WASILIANA NAMI..
0672701329/0756294771
NB. MAELEKEZO YA KINACHOFANYIKA BAADA YA MTEJA KUKUBALI NA KURIDHIKA NA PRODUCT NI KUKUTANISHWA NA MMILIKI HALALI ................
DALALI Lexus SUV
we mwache tutakuja kumpiga mtungo uzi mzimaT-pain mtu wako kaja uku
Kaka mm nachomoka soon kabla ya ma interview ya ajira za halmashauri siyapendi kinyama.yaah ila huo wanane nahisi IT atakua kwenye gia namba tano pdf zitakua za kutosha
π€£ π€£ nyie watu wa afya muda wowote mnachomoka omba tu usiangukie pabayaKaka mm nachomoka soon kabla ya ma interview ya ajira za halmashauri siyapendi kinyama.
Ndo hicho kaka nyie electrical[emoji1787] [emoji1787] nyie watu wa afya muda wowote mnachomoka omba tu usiangukie pabaya
Naam asali lazima ilambwe mkuumie niko poa tu ndugu yangu nafukuzia pdf za halmashauri
Oya Mzee T-pain Yuko on π₯π₯π₯,mzee baba kama kawa hupoi wala huboi mastaπππwe mwache tutakuja kumpiga mtungo uzi mzima
Nakubaliana na wewe ndugu ..saiv asilimia zaidi ya 70 ni kupata halmashauri..lakini kama mtu utajiongeza fursa Huwa zipo Kila mahala..maisha hayana formula kabisa naamini Kuna watu wapo halmashauri na wapo vzr kimaisha japo wanaweza wasie wengikuzikwepa halmashauri kwa sasa ni ngumu...
kitakacho kutoa kwenye haya maisha ni ubunifu wako tu wa jinsi ya kuongeza kipato cha ziada...
Zaidi ya hapo, utaiba na kuishia jela
kama kawa mwanangu marcellojrOya Mzee T-pain Yuko on π₯π₯π₯,mzee baba kama kawa hupoi wala huboi mastaπππ